Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

1:17 ya mwisho pale katoke seminary,mwaka 2007 form six 2:11 rulenge seco.
 
Dah kwel humu kumejaa watoto, ila sio mbaya ndo taifa la kesho. ivi nan anakumbuka ule mtian uliofutwa form 4 ukarudiwa nch nzima?
 
Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini

ata mimi napata kigugumizi,ila kwa mungu yote yanawezekana.
 
Sikumbuki but what I know I went through to the university level. Kwani kwanini sijui nobody knows
 
Watoto mmeamkaje leo,kumbe ndio maana thread nyng za kitoto kweli jf imeingiliwa..yaan form iv.2007 upo humu?
 
sisi tuliosoma unguja tulikuwa na kazi nzito sana kunyanyua mitihani ya necta. Ila nashukuru tulitoka. wangekuwa na necta yao naona ningewaongoza wapemba wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom