Enzi za sketi na gauni na kishida (gagulo) zimeisha?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Yawezekana hizi enzi zinaelekea ukingoni likija suala la usasa na ujana. Wadada kuanzia miaka 10 hadi 30 hivi hawatamani tena mavazi hayo. Wanapenda suruali na vipensi. Hii inanifanya kufikiria kidogo ni nini kinafuata. Wadada mtuambie, mnaona aibu kuvaa gauni na sketi? Au hampendezi mkivaa hivyo? Mbona mnakuwa casual sana? Hadi nikiona binti kavaa gauni namtazama mara 2 na kumadmire
 
magauni na sketi yapo sema unayoyataka wewe yamepitwa na wakati, na haya yaliyopo hayavaliwi na kishida....na ni ngumu kuyapata yale ya zamani kwa sababu hata madesigner hawayadesign tena
 
Ni kweli kuwa magauni yapo tena ya kisasa pamoja na sketi ila utakuta hata haya ya kisasa ni wachache wanavaa. Wengi ni jinz na vitop hasa vyuoni hadi unajiuliza ni upepo gani huu?
 
Ndugu tunakwenda na wakati. Huu sio wakati wa cinderella. Kama unapenda hizo fasheni za 47 year kamshonee kipenzi chako ili ufurahie. lol!
 
.....Hivi kuna wadada bado wanavaa gagulo? Nilichukia kuvaa gagulo/shimizi toka nikiwa kabinti kadogo enzi hizoooooo.
Halafu ukivaa sketi/gauni mtu haupo free kama ukivaa pants.....mie hizo sketi na gauni navaa kwenye special occasion tu.
 
Ndugu tunakwenda na wakati. Huu sio wakati wa cinderella. Kama unapenda hizo fasheni za 47 year kamshonee kipenzi chako ili ufurahie. lol!

that means evolution. Baada ya hapo itakuja fashen gani?
 
wait n u wl c wat nxt!!!!!!!!!!!
magauni mazuri lakn mweeeeeeeeeeee bt hayana uhuru km ukivaa vjapanshupa!!!!!!!!!!!!:twitch:
 
mnh unataka tuvae zembwela...inahusuuuu...:twitch:

Haiusu mwenzangu ila magauni ( sweeping dress) yapo na yanavaliwa tu! lbda huko mtaani kwako ndo hawavai ila ukivaa suruali au pensi unakuwa free zaidi ila me sina hata gauni kabatini kwangu ila sketi ipo
 
Ndyo maana hata mchezo wao wa Netball umekoswa watazamaji zamani walikuwa wakiruka na mpira angalau unafaidi kuona kule juu ya magoti.......But now nhhh ever and ever you'll never see again accordingly skin tite revolutionary!!That why nobody who dare to go in ground!!!:pound:
 
Ni kweli kuwa magauni yapo tena ya kisasa pamoja na sketi ila utakuta hata haya ya kisasa ni wachache wanavaa. Wengi ni jinz na vitop hasa vyuoni hadi unajiuliza ni upepo gani huu?
...Mambo ya vijana wa University Corner na wimbo wao '' Tshirt na Jeans'' mdada kavaa gauni kutoka nje ya geti kaona gauti sio dili karudi ndani kubadirisha..............
 
Haiusu mwenzangu ila magauni ( sweeping dress) yapo na yanavaliwa tu! lbda huko mtaani kwako ndo hawavai ila ukivaa suruali au pensi unakuwa free zaidi ila me sina hata gauni kabatini kwangu ila sketi ipo
...Nimependa avatar yako laiti ingekuwa ni wewe ningekuhamasisha kuvaa jeans muda wote lazima unakuwa moto...:A S tongue::A S tongue:
 
Mi ndo maana cku izi siendi kuangalia netball.
zamani walikua wanavaa blauzi, sketi na ch**i pekee. Siku izi juu yake tena wanaweka skini taiti, yaani inakua sio mzuka kabisa, huoni ktu.
 
haya mavazi yako huku town tuu, ukienda vijijini pachanga zipo kama kawa.
 
kingi i am ur girl ............yaani ni skirt tu na gauni mara moja moja......na gagulo pia nna vaa. and i look super cute and presentable! lol

suruali huvaa once in a blue moon tena ninapolazimika kwenda site kazini.

too sex for my pants :p:p
 
Back
Top Bottom