Enzi za primary

Homemade

Member
Jun 2, 2011
17
1
Wana jf naombeni tukumbushane vitimbi vya primary enzi zile. Nakumbuka ilikua ukinunua andazi unaliweka mdomo zimazima au unalitemea mate ili usiombwe du! Kanyaga twende
 
kwangu nikiwa na ela ata kuelewa nilikuwa sielewi kabisa yaani nilikuwa naomba kengele igongwe haraka nikatumie.
 
nilikuwa namuomba bibi sh 10, afu naenda kununua sukari guru mbili, kila kipande kilikuwa kinauzwa sh 5, nikifika shuleni mi nakuwa tishio, anaetaka nimgawie kidogo lazima anibebee kwanza mkoba wangu wa madaftari kuanzia shuleni hadi nyumbani.
 
kwangu nikiwa na ela ata kuelewa nilikuwa sielewi kabisa yaani nilikuwa naomba kengele igongwe haraka nikatumie.

ehhh mshkaji umenchekesha jamann..dah dzain tulikuwa tunafanana..mi ivo ivo...nikiwa na sh 50 shule ahh mi apana elewa ktu
 
nilikuwa namuomba bibi sh 10, afu naenda kununua sukari guru mbili, kila kipande kilikuwa kinauzwa sh 5, nikifika shuleni mi nakuwa tishio, anaetaka nimgawie kidogo lazima anibebee kwanza mkoba wangu wa madaftari kuanzia shuleni hadi nyumbani.

ahh mi i nilikuwa nikinunua kababu,sambusa,bagia basi nawaambia wapange mstar wale woote wanaotaka then nawaambia anayetaka aseme/aniambie.
....wewe jane mzuri
..una nywele ndeeefu km mkia wa faras
..una tumbo dogo
..mchumba ako naniii(yule handsam wa shule...sio uyu wa jf)
...una saut nzuri....KINYUME NA APO SIKUPI KITU CHANGU NAKUNYIMA UKU UNANIONA...mashart yangu yalikuwa machache na malain si km ya IMF!!!!!
 
Wana jf naombeni tukumbushane vitimbi vya primary enzi zile. Nakumbuka ilikua ukinunua andazi unaliweka mdomo zimazima au unalitemea mate ili usiombwe du! Kanyaga twende

ahh mtaa wa likwati pale temeke kulikuwa na babu mmoja anakaanga mihogo ina pilipiliiii nyingii anaitwa babu chachanduu..basi mwana tukiwa tunatoka wailes ile saa 8 izo mbio zake kukimbilia mihogo usizipimie...manake saa 8 ile na njaaa ile afu upate mihogo milaiiin na pilipili weeeeeee uo utamu wake asikwambie mtu...

saa 4 shule najifanya jaman mi sna ela leo....ahh sa8 tukitoka wananikuta nimejichoba kwa babuchachandu makamasi yananitoka kwa pilipili chwiii..ahh jane jaman asi ulisema huna ela ...ahh jaman asi nimeokota njian....anayetaka nimkatie aniambie mi mzuri....utaratbu ni ule ule....

dah yule babu sjui yupo wap...
 
Nilikuwa na mademu 2 wote watoto wa walimu. Kila ikifka saa 4 mara huyu kaleta karanga mara yule kaleta mihogo bac kidume n kujichana tu. Tena tulikuwa tunaenda kulia chooni ili watu wasiombe.
 
Nilikuwa na mademu 2 wote watoto wa walimu. Kila ikifka saa 4 mara huyu kaleta karanga mara yule kaleta mihogo bac kidume n kujichana tu. Tena tulikuwa tunaenda kulia chooni ili watu wasiombe.

duuuu... tukikugred humu jfcally wewe kwa sasa ni robot katika mambo hayo
 
Back
Top Bottom