Enzi za Mwinyi zimeanza kurejea magari ya serikali yamepaki hayana mafuta!

Wazee,
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara ya maji anasema magari ya wakurugenzi yamepaki miezi kadhaa kutokana na kukosa hela ya kununua mafuta. Mengine yanadaiwa na DT Dobie, Toyota (T) Ltd, n.k. malipo ya matengenezo tangu mwaka jana. Madereva wanaenda ofisini kupiga stori na kusibiri mishahara mwisho wa mwezi. Watumishi wengi wanaenda likizo bila malipo. Mdau aliendelea kunihabarisha kwamba hata programu ya kitaifa ya maji ni kama imesimama na wafadhili wakiwemo wajerumani, waholanzi, benki ya dunia, n.k. wamepanga kujiondoa kwenye programu.

Kama habari hizi ni za kweli, basi kikwete nchi imemshinda na kwa dalili hizi tunarudi kulekule alikotutoa mzee mkapa wakati serikali ilikuwa haina fedha hata za kununua karatasi kwa matumizi ya ofisi. Cha ajabu wakati mambo hayo yakiw mabaya hivyo serikalini, wafanyabiashara wakubwa wanaendelea kuporomosha majengo marefu mijini.
Acha tu yapaki na hizo pesa zikosekane. sioni wanachofanya zaidi ya kutufisadi. Wanajidai wamesoma wamekalia ofisi na kuandika madokezo tu. Jioni utayakuta yanakula nyama choma na bia bar. Yaani nakereka kwelikweli.
 
Wazee,
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara ya maji anasema magari ya wakurugenzi yamepaki miezi kadhaa kutokana na kukosa hela ya kununua mafuta. Mengine yanadaiwa na DT Dobie, Toyota (T) Ltd, n.k. malipo ya matengenezo tangu mwaka jana. Madereva wanaenda ofisini kupiga stori na kusibiri mishahara mwisho wa mwezi. Watumishi wengi wanaenda likizo bila malipo. Mdau aliendelea kunihabarisha kwamba hata programu ya kitaifa ya maji ni kama imesimama na wafadhili wakiwemo wajerumani, waholanzi, benki ya dunia, n.k. wamepanga kujiondoa kwenye programu.

Kama habari hizi ni za kweli, basi kikwete nchi imemshinda na kwa dalili hizi tunarudi kulekule alikotutoa mzee mkapa wakati serikali ilikuwa haina fedha hata za kununua karatasi kwa matumizi ya ofisi. Cha ajabu wakati mambo hayo yakiw mabaya hivyo serikalini, wafanyabiashara wakubwa wanaendelea kuporomosha majengo marefu mijini.

Hizi statement zako ziko kijumla jumla.

Mfano: magari ya wakurugenzi yamepaki miezi kadhaa - ni kuanzia lini hadi lini? Mbona tunayaona barabarani, au ni yale ya miradi ya maji ndiyo unayozungumzia? Maana inaelekea wewe ni mfanyakazi wa sekta hiyo.

DT Dobie hafanyi service yo yote bila ya malipo yake usidanganye, au magari hayo yamezuiwa na kampuni hiyo? By the way DT Dobie ipo bado?

Program ya kitaifa ya maji inayofadhiliwa na benki ya dunia imesimama kwa sababu ya unsatisfactory performance na ilibidi pafanyike restructuring ya mradi huo.

Hebu angalia vizuri hizo facts zako.
 
Dume,
Ni kweli kabisa hali ni mbaya kupita maelezo. Binafsi sijawahi kushuhudia hali hii tangu niajiriwe serikalini. Imefika wakati mkurugenzi wetu mmoja anatumia hela yake mfukoni kununua karatasi za kuprintia documents za serikali. Nadhani muda si mrefu nchi itacollapse.

Kingcobra usitudanganye hakuna mkurugenzi aliye na imani kiasi ya kwamba anatoa fedha zake za mshahara kuprint document za serikali. Labda kama ana interest zake mwenyewe, mfano kuprint document ambayo ataitumia kwenye mkutano atakaohudhuria na ambao atapewa allowance nene ya $504 kwa siku plus other costs. Hiyo ni investment yake.

Otherwise.........
 
mlipokuwa shule ya msingi si mliimba munguibariki tanzania na viongozi wake
na kusahau hiyo baraka iwe ya nini!!!
Sasa wamebarikiwa mnalalama
 
brah brah tu! hamna kazi kila siku kulalama hapa, kwani aliyemchagua jk sio nyie? unafiki mtupu. na bado mtalia sana, mwaka wa kwanza tu huo bado minne. watz sisi mdomo sana ila waoga kama kobe. hivi unakumbuka muswada wa ugaidi ulivyopita fasta fasta? ngoja siku si nyingi na muswada wa haki sawa kuruhusu mashoga utapita tu. ngoja hela ziishe. kwani govt si ni bunge? na bunge si ni ccm? ha ha ha haa! majuhaland !

TZ is really a "majuhaland"! While everybody is crying "hali mbaya",the government is celebrating 50yrs of independence for months like nobody's business, burning whatever balance it has!
 
Wazee,
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara ya maji anasema magari ya wakurugenzi yamepaki miezi kadhaa kutokana na kukosa hela ya kununua mafuta. Mengine yanadaiwa na DT Dobie, Toyota (T) Ltd, n.k. malipo ya matengenezo tangu mwaka jana. Madereva wanaenda ofisini kupiga stori na kusibiri mishahara mwisho wa mwezi. Watumishi wengi wanaenda likizo bila malipo. Mdau aliendelea kunihabarisha kwamba hata programu ya kitaifa ya maji ni kama imesimama na wafadhili wakiwemo wajerumani, waholanzi, benki ya dunia, n.k. wamepanga kujiondoa kwenye programu.

Kama habari hizi ni za kweli, basi kikwete nchi imemshinda na kwa dalili hizi tunarudi kulekule alikotutoa mzee mkapa wakati serikali ilikuwa haina fedha hata za kununua karatasi kwa matumizi ya ofisi. Cha ajabu wakati mambo hayo yakiw mabaya hivyo serikalini, wafanyabiashara wakubwa wanaendelea kuporomosha majengo marefu mijini.

Enzi za dhiki zilikuwa si za Mwinyi zilikuwa za Nyerere.
 
brah brah tu! hamna kazi kila siku kulalama hapa, kwani aliyemchagua jk sio nyie? unafiki mtupu. na bado mtalia sana, mwaka wa kwanza tu huo bado minne. watz sisi mdomo sana ila waoga kama kobe. hivi unakumbuka muswada wa ugaidi ulivyopita fasta fasta? ngoja siku si nyingi na muswada wa haki sawa kuruhusu mashoga utapita tu. ngoja hela ziishe. kwani govt si ni bunge? na bunge si ni ccm? ha ha ha haa! majuhaland !

tehe tehe tehe wengi mlidhan ni mchezo, ooh! siyo raia, ni mdhungu yule! mkachagua handsome as if mlikuwa mnaenda kuoa sasa hivi tutapumliwa visogoni wengine vifo vya mende vitatugusa kunako. Mashoga nao watapata fursa ya kujiweka hadharani ili mabasha wawekeze!

God have Mercy, UPANZI ndani ya vichwa vya watanzania utupungue jamani.
 
Kama hali ndiyo hii kwanini wasiondokane na upuuzi huu wa sherehe ya miaka miaka 50 ya Uhuru
wa Tanzania bara? Afterall 9/12/1964 hakukuwa na nchi inayoitwa Tanzania bara, hivyo hawajui
hata wanasherehekea uhuru wa nchi gani? (SIC)

sisi watz(watanganyika) tunafaham tunasherehekea uhuru wa nchi gani.Labda ww mnyarwanda ndo hujui tulifanyalo .
 
watu wabara wanapenda nn?jadili mada husika si kuropoka.
 
Wazee,
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara ya maji anasema magari ya wakurugenzi yamepaki miezi kadhaa kutokana na kukosa hela ya kununua mafuta. Mengine yanadaiwa na DT Dobie, Toyota (T) Ltd, n.k. malipo ya matengenezo tangu mwaka jana. Madereva wanaenda ofisini kupiga stori na kusibiri mishahara mwisho wa mwezi. Watumishi wengi wanaenda likizo bila malipo. Mdau aliendelea kunihabarisha kwamba hata programu ya kitaifa ya maji ni kama imesimama na wafadhili wakiwemo wajerumani, waholanzi, benki ya dunia, n.k. wamepanga kujiondoa kwenye programu.

Kama habari hizi ni za kweli, basi kikwete nchi imemshinda na kwa dalili hizi tunarudi kulekule alikotutoa mzee mkapa wakati serikali ilikuwa haina fedha hata za kununua karatasi kwa matumizi ya ofisi. Cha ajabu wakati mambo hayo yakiw mabaya hivyo serikalini, wafanyabiashara wakubwa wanaendelea kuporomosha majengo marefu mijini.
Aidha hukuwepo enzi za Nyerere au una lako jambo.

Enzi za dhiki zilikuwa si za Mwinyi zilikuwa za Nyerere.
Kama alikuwa mdogo 1975-1984 nimemsamehe lakini kama alikuwa mkubwa kaamua tu kuvaa miwani ya mbao,waliokuwepo wanafahamu Mwinyi alitutoa wapi pamoja na mapungufu yake kidogo.
 
Pesa zote diverted wizara ya nishati kugharamia very expensive electricity generation. Maumuzi ya 'jana' kiama cha 'leo'.
 
Hebu nieleze kwa kifupi maadhimisho yanahitaji gharama gani?, to me, this is another wizi. Kwa akili ya kawaida hakuna gharama ya maadhimisho kwani majeshi yanafanya gwaride, rais anahutubia na watu wanarudi kwao- sijaona ni wapi serikali itahitaji fedha za ziada. Nadhani ni maendelezo ya viongozi kuwanyanganya fedha raia. Inakera sana.
kama wamekosa za mtihani kidato cha 2 watapata za mafuta wapo busy na maadhimisho
 
Back
Top Bottom