Enzi za Mwalimu Nyerere nakumbuka haya toka kwake

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Kipindi alipopata uhuru alisema atapingana/atapambana na maradhi makuu matatu.Ujinga Umaskini na Maradi.alikuwa sawa kabisa na alikuwa anampango wa kuuendeleza Tz yetu.Je unafikiri mpaka kufikia sasa yameondoka au ndiyo maradhi yameongezeka? au yamepungua? Mimi kwa upande wangu naona yameongezeka na kufikia 5.Ambayo ni
1.Ujinga
2.Umaskini
3.maradhi
4.Ufisadi
5.Mfumuko wa bei
6..............
Kama unajua mengine unaweza kuongezea ili tuweze kuwaambia watawala wetu wayatendee kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom