Enzi Hizo S02

Salama wakuu........

Leo ngoja tumalize weekend kwa kibao kitamu cha Conjests toka kwao DDC Mlimani Park Orchestra wana Sikinde ngoma ya ukae..
Wimbo huu waimbaji wake ni Bennovill Anthony,Fresh Jumbe,Maalim Hamis Kinyasi na Fancis(baadaye Nassir) Lubua..Gitaa la solo lilipigwa na Kassim Mponda 'Bella Chance',gitaa la rhythm lilipigwa naye Abdallah Gama na gitaa la besi lilipigwa na Julius Mzeru.Drums zilikung'utwa na Said Chipelembe,Tumba zilipigwa na Ally Jamwaka,Trumphet zilipulizwa nao Machaku Salum na Ally Yahaya,Saxaphone zilipulizwa na Shaban Lendi,Joseph Bernard na Juma Hassan Town...........

Wimbo unaanza hivi:

Benovilla Anthony: Nimetembea pande nyingi za dunia,mashariki na magharibi jamani eeh,nikatafuta mpenzi mwenye busara ili kujenga
mapenzi ya kweli,
Nimetembea pande nyingi za dunia,mashariki na magharibi jamani eeh,nikatafuta mpenzi mwenye busara ili kujenga
mapenzi ya kweli.

Benovilla Anthony: Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa,
Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa.
aaaaaaaaah Conjesta sitapenda mwingine tena eeeeehhhhhhh.

Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa,
Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa.

Kiitikio(wote): Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani,
Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani.

Fresh Jumbe: Mapenzi mazito sioni mwingine wala sisikii la yeyote yule ila ni wewe,
Mtoto mwenye imani(ooooh mama ooooh Conje),Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani,
Mapenzi mazito sioni mwingine wala sisikii la yeyote yule ila ni wewe,
Mtoto mwenye imani(ooooh mama ooooh Conje),Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani.

Francis Lubua: Macho yangu na masikio yangu,mawazo yangu ypte ni kwako weeeee....

Kiitikio(wote): Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani,
Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani.
 
Mariamu

ataka yote akosa yote
apita ahangaika asijue la kufanya ... asijue la kufanya
mshika mawili yote yamponyoka
apita akebakeba asijiue la kujitetea
mmmhhh mapenzi yawaka moto
naitika nilikukosea sasa nihurumie
si ninafikiri zaidi kuliko wewe
nakonda kama mnazi kwa mapenzi nilionayo
nilalapo nakuota mchana kutwa sili
moyo wanichechemea mwili damu hukauka
penzii eh ..... mmmh penzi eh x 2

nasumbuka kwako unionavyo moyo wangu
wewe ndio dawa yangu
Maraimu wangu
Tanga mbali
waja leo wondoka leoo
waja leo warudi leo

Mariamu bibi
mwenzenu sina pumuzi kujizuwia siwezi ohhh
mwanaume barabara kazi ya mume kwa mke
neno ya mke chumvi kwa mumewe
neno ya muke kachumbari kwa mumewe
penzi oh penzi likamung'uma he heh heh

likamung'uma hen heh heh .... mmhhhh
mdundiko, mdundiko ........ waaaaaa
mdundiko ...... waaaa

Hii nyimbo kuna kipande mwishoni zinapigwa drums balaa...
dah Ardhi imemeza jama
 
V.I.P-Jerry Nashon 'Dudumizi"

(Wote): Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,
Ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo,

(Dudumizi): Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe VIP,
Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,VIP
Baada ya kazi ngumu ya kutafuta pesa,na kisirani cha kufokewa na boss,
Nahitaji VIP wa kunibembeleza,nakutaka wewe mama,unibembeleze,
Si kwa maneno ila kunitomasatomasa,kwa mikono yako laini yenye bangili,
Unipe busu mwanana la kunipumbaza wee (VIP).

Unipe busu mwanana la kunipumbaza wee (VIP)

Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,
Ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo.

Dudumizi: VIP sogea karibu,ubipe busu mwanana mama

Bridge

(Wote): Binadamu hanunuliwi kama nguoo VIP,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako
Utanitoroka.
Binadamu hanunuliwi kama nguoo VIP,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako
Utanitoroka

Nina nia ya kuwasha moto wa mapenzi kwako,kwa uzuri ulionao VIP,
Nina nia ya kuwasha moto wa mapenzi kwako,kwa uzuri ulionao VIP
Natamani penzi live sio penzi la ndotoni,nakuomba uwe wangu VIP,
Tafadhali nakusihi, ili niondokane na ndoto za mapenzi.

Tafadhali nakusihi, maaa mamaa,maaa....maaa yoooo,maa mamamaaaaaaaaaaaaaaa,

Dudumizi: Ukinikubali VIP,mimi niko tayari,kubadili dini,
Ukinikubaliii VIP mimi niko tayari,kubadili dini,
Hata kama wazazi wangu hawapendi,nitafanyafanya mipango niwe na wewe sambamba(sambamba)
nitafanyafanya mipango niwe nawee sambambaaa

Ukinikubalii VIP,mimi niko tayari kubadili dini,
Ukinikubalii VIP,nitatoa mahaliii ya mbuzi saba,
Hata kama sina VIP,nitafanyafanya mipango niwe na wewe sambamba(sambamba) nitafanyafanya mipango niwe na wewe
sambamba.

VIP ni moja ya nyimbo nilizokuwa nazikubali Duniani...... U remaind me those days Balantanda! Naikumbuka D'slaam those days tupo wachache hakuna foleni rahaaa tuu DAH!
 
VIP ni moja ya Nyimbo nilizokuwa nazikubali Duniani...... U remaind me those days Balantanda! Naikumbuka D'slaam those days haina foleni tupo Wachacheeee.
 
10425184_900973249929166_8355511666834209320_n.jpg
 
Jamani mambo kwa soksi duh redio tanzania walikataa kuurekodi kwa maadili ya kipindi hicho.
 
mim nimezaliwa mwishon mwa miaka ya 80 ila popote nikisikia nyimbo za zaman huwa nafurah sana kweli zaman kulikuwa na burudani sio leo
 
Kesi ya Khanga(Monica)-ZAITA Musica

Mama nipe nauli nikamfuate Monika ee,amekimbilia Zambia na treni ya mizigo ee,kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti kumi za khanga alizokopa hajalipa ee,anatafutwa na Polisi popote hapatikani,na mimi rafiki yake nipo nje kwa mdhamana ee,nililala rumande siku mbili kituoni,usumbufu nilioupata kwa kweli sina raha ee

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Mahakamani wameshapanga siku ya kusikiliza kesi,asipokuja nitapelekwa jela kutumikia kifungo,ee Monika eeeh uko wapi ee,Monika eeh

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi eeeeh

Heshima yako mkuu
 
Wakuu Balantanda na wengine kuna ule wimbo wa Vijana Jazz Wana pamba moto unaoitwa Zainabu ambao katika safu ya waimbaji walikuwa Jerry Nashon"Dudumizi" ,Adam Bakari"sauti ya zege" na Fred Benjamin. Naomba mwenye mashairi na ikiwezekana hata video yake auweke hapa.
 
Kwa bahati nzuri wakina dada wa siku hizi
Ni wazuri sana wakupendeza
Ni wapole sana kama twiga
Duh miaka dahari hiyo dudumizi analalamika humo.
 
Salama wakuu.....Leo tupitiepitie baadhi ya nyimbo za Nguza Vicking,kwa kuanzia tunze na wimbo wa Kadiri ka Nsimba

Uaminifu wa mapendo ee naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,
Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga

Nilikutimizia mahitaji yako ee ee mama,nilikulindia heshima yako ee ee mama,

Ooooo nikupe nini sasa we mama,Ooooo nifanye nini sasa we mama,
Ooooo sasa tuko wapi oooo,Kadiri ka Nsimba unieleze ukweli wako mama...

Oooooo nikupe nini sasa we mama,Ooooooo nifanye nini sasa we mama,
Oooooo sasa tuko wapi oooo,Kadiri ka Nsimba unieleze ukweli wako mama...

Kwa mara ya kwanza nimekuona,nimekusamehe,mara ya pili tena umenidanganya eti mjomba wako,

Oooo Kadiri tumetoka mbali mimi na wewe,Oooooo Kadiri tumetoka mbali mimi na wewe,

Ooooo nikupe nini sasa we mama,Ooooo nifanye nini sasa we mama,
Ooooo sasa tuko wapi oooo,Kadiri ka Nsimba unieleze ukweli wako mama...

Oooooo nikupe nini sasa we mama,Ooooooo nifanye nini sasa we mama,
Oooooo sasa tuko wapi oooo,Kadiri ka Nsimba unieleze ukweli wako mama...

Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga
Uaminifu wangu mama naonekana zoba,uminifu wangu mie naonekana mjinga,
nifanye nini sasa sheri sema nijue mama,nikupe nini sasa mie sema nijue mama,
Mama Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,mama Kadiri ka Nsimba naonekana zoba

Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,
Iringa Chunya Mwanza kote nimekwenda,Iringa Chunya Kigoma kote nimefika,
nifanye nini sasa sheri mapenzi yangu kwako ni bure,nikupe nini sasa mie mapenzi yangu kwako ni bure,
Mama Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,mama Kadiri ka Nsimba naonekana *****

Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,
Iringa Chunya Tangaa kote nimekwenda,Iringa Chunya Arusha kote nimefika,
nifanye nini sasa sheri mapenzi yangu kwako ni bure,nikupe nini sasa mie mapenzi yangu kwako ni bure,
Mama Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,mama Kadiri ka Nsimba naonekana *****

Kadiri ka Nsimba (Mama Kadiri) naonekana mjinga,Kadiri ka Nsimba naonekana mjinga,

E kanyungunyungu nyungulula,E kanyungunyungu e nyungulula,

the best song of all time
 
Salama wakuu?......Naona kimya sana,mmeamua kuupotezea muziki wetu mtamu wa Enzi hizo....

Haya ni weekend nyingine tena,Ijumaa ya leo naomba tuwaangalie wana Orchestra Marquis Original wana Zembwela na baadae Sendema....Kundi hili lilikuwa linaundwa na wakali kama Tshimanga Kalala Assosa,Issa Nundu,Mukumbule Lulembo 'Parash',Mbuya Makonga 'Adios',Banza Mchafu.Dekula Kahanga 'Vumbi',Bobo Sukari,Fredito Butamu,Mbwana Kocks,Kabea Badu,Mutombo Audax na wakali wengine kibao.....Hawa jamaa walikuwa ni noma wakuu.......

Kwa leo tuanze kuangalia kitu Ngalula utunzi wake 'Mutoto Muzuri' Tshimanga Kalala Assosa.....Wanamuziki walioshiriki kuimba na kupiga vifaa/vyombo vya wimbo huu ni hawa wafuatao(I stand to be corrected wakuu maana ni muda umepita)...

Waimbaji: Tshimanga Kalala Assosa, Mukumbule Lulembo 'Parash', Kabeya Badu, Mutombo Audax, na Issa Nundu,
Gitaa la solo lilipigwa na 'Vumbi' Dekula Kahanga na second solo alipiga Mbwana Kocks,
Gitaa la Rhythm alipiga William Maselenge,
Gitaa la bass alipiga Banza Mchafu,
Kinanda alipiga Mbuya Makonga 'Adios',
Trumpet zilipulizwa na Kaumba Kalemba akishirikiana na Ngoyi Mubenga,
Saxaphone zilipulizwa na Mukuna Roy akishirikiana na Bery Kankonde,
Tumba zilipigwa na Seif Said,
Drums zilicharazwa na Matei Joseph.

Tuuangalie wimbo wenyewe wa Ngalula sasa(I like the song wakuu wangu):

Kinachonifanya nishindwe kuamua ee mama ee....ee najua mwenyewe,ee mama...
Pamoja na vituko vyake mama ee,bado namuhitaji masihani ee,ee najua ee Ngalula,ee nimekuzoea ee,shanganga Ngalula,ananielewa vizuri mama ee kuliko mtu yeyote ee mama,shida na raha zangu Ngalula anazielewa,jamani Ngalula nimekusamehe mama,jamani Ngalula nitamvumilia nione mwisho wake,ee mama aa,ee mama aa........aaaaaaaaa Vumbi......Kahanga.

Kinachonifanya nishindwe kuamua ee mama ee....ee najua mwenyewe,ee mama...
Pamoja na vituko vyake mama ee,bado namuhitaji masihani ee,ee najua ee Ngalula,ee nimekuzoea ee,shanganga Ngalula,ananielewa vizuri mama ee kuliko mtu yeyote ee mama,shida na raha zangu Ngalula anazielewa,jamani Ngalula nimekusamehe mama,jamani Ngalula nitamvumilia nione mwisho wake,ee mama aa,ee mama aa.

Bridge

Ngalula mama,Ngalula wangu mama ee,Ngalula mama,ziba masikio,
Ngalula mama,Ngalula wangu mama ee,ni maji ya moto mama,yatapoa mama.

Yeeeeeeeee,ewalaaaaaaa,
Yeeeeeeeee,ewalaaaaaaa,
Yeeeeeeeee,ewalaaaaaaa

Zembwela.....Zembwela....Vumbi......Vumbi.....Vumb i.....Sendema,Sendema.....Vumbi

Vumbi.....Vumbi.....Sendema,Sendema.....Vumbi

the best one mkuu
 
Sasa tuangalie kitu Makumbele namba 1

Makumbele nimevumilia mengi,sijakutendea kosa mpenzi wee,
Nimevumilia mengi mpenzi wangu baba watoto Makumbele,

Lakini leo,nimefika mwisho,kwa kweli mpenzi si kawaida yangu,

Nitarudi kwa baba na mama mawazo yangu yote ni kwa watoto Makumbele,
Mazoea pia yana tabu yake,nitajitahidi mpenzi nitayasahau,mazoea pia yana tabu yake,nitajitahidi mpenzi nitayasahau.

Rudi ee rudi mama watoto,umetoroka nyumbani bila taarifa yoyote mama,

Kama nilikukosea ungesubiri mpenzi ee,kma nilikukosea naomba msamaha,

.................Yaaaaaaaaaa...........Zembwelaaaa aaaaa

mkuu hii co mchezo
 
Mkuu asante kwa kumbukumbu hizi.
Kuna hii nyimbo ya makumbele no 2 tukumbushe mashairi na kama una audio tafadhali utuwekee.
Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nimeikosa
 
Daa!Nimefurahi sana kukutana na huu uzi.Marquis ilikuwa ndiyo band yenye wapuliza ala za upepo wengi.Lakini kwenye wimbo Karubandika jamaa hao nasikia waligoma kutia ala zao humo.Hii ilikuwa ni kile kilichoitwa ujuaji wa wale ndugu wawili Kasaloo na Kyanga Songa.Lakini kinyume ilivyotegemewa wimbo huu ulibamba sana.Nadhani wimbo huu ulikuwa ni kati ya zile chache ambazo hazikusindikizwa na midomo ya bata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom