Enzi hizo kuogeshwa

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,939
wangapi waliogeshwa kwa mtindo huu utotoni?mana unaambiwa fumba macho ukifumbua sabuni yake machoni utakoma!!!!!!!! !mana unasuguliwa na dodoki,jiwe au chupi yako na usipokuwa makini na balance utakoma mana unasimama na mguu mojaa uone hiki nn!!!!!
FB_IMG_1587637213471.jpg
Oga.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1587637213471.jpg
    FB_IMG_1587637213471.jpg
    13.1 KB · Views: 2
1. Halafu unanyweshwa kidogo maji ya kuogea.......sijui maana yake
2.Mguuni unaguliwa na jiwe "laini" (siyaoni siku hizi)
3. Ole wako uwe na michubuko kwenye miguu kutokana na kucheza mpira halafu unakumbana na mama kauzu utakoma
4. Ukimaliza kuoga unakaushwa juani na kupakwa mafuta ya mamis na kuvishwa nguo ya mtumba
 
Umemaliza ndugu yani nimecheka hadi basi
1. Halafu unanyweshwa kidogo maji ya kuogea.......sijui maana yake
2.Mguuni unaguliwa na jiwe "laini" (siyaoni siku hizi)
3. Ole wako uwe na michubuko kwenye miguu kutokana na kucheza mpira halafu unakumbana na mama kauzu utakoma
4. Ukimaliza kuoga unakaushwa juani na kupakwa mafuta ya mamis na kuvishwa nguo ya mtumba
 
Nina mengi ya kusimulia, nimekumbuka mbali sana ila moja ni pale ambapo unakuta una vidonda si mnajua mambo ya utoto vidonda miguuni ilikuwa ni lazima, unaulizwa kwanza na mwogeshaji vidonda viko sehemu gani, unamtajia ili achukuwe tahadhari.Ila duh! akikosea, balaa lake, unanisikia umesugua kwenye kidonda(kilio).Hahahahaha!
 
mshikaji hiyo ha ha ha ha ulivyoiachia umenisababisha niangue bonge la kicheko ofisini.
 
Duh me nlikua naenjoy mom akiniogesha na maji ya uvuguuvugu taratibu mwenyewe basi mda wa kuoga ukifika tu namwambia.ila dada wangu alikua mbishi kuoga na wakati wa kubanwa nywele lazma awekwe paka coz alikua anaogopa
 
Haya mambo ya kusugua binadamu na mawe ndiyo leo nayasikia kwenu. Kwa mimi nijuavyo ni terrazzo tu ndizo husuguliwa na mawe!!
 
wakati mwingine unang'ang'ania kuoga peke yako, unamaliza unaitwa mguu ukisuguliwa unatoa km unga unga, unapelekwa unasuguliwa na jiwe ukitoka hapo dah. Those good old days

Mkuu siku ya kuoga peke yangu ilikuwa ni "golden chance" kwangu, nilikuwa nahakikisha maeneo ambayo yanakaguliwa lazima yawe na maji;mfano, nilikuwa naosha miguu, kichwa halafu na kupaka maji kidogo tumboni maana ukaguzi ulikuwa unaanzia hayo maeneo.Hivyo mama alikuwa akishika tumbo akikutana na ubaridi anajua nimeoga.Nilikuwa nakata siku nyingi sana bila kuoga kwa mtindo huu.Utoto!
 
wangapi waliogeshwa kwa mtindo huu utotoni?mana unaambiwa fumba macho ukifumbua sabuni yake machoni utakoma!!!!!!!! !mana unasuguliwa na dodoki,jiwe au chupi yako na usipokuwa na balanceutakoma mana unasimama na mguummojaa uone hiki nn!!!!!

Kicheko kikaliiii!!! Haya mambo hayaaaa......
 
Mkuu siku ya kuoga peke yangu ilikuwa ni "golden chance" kwangu, nilikuwa nahakikisha maeneo ambayo yanakaguliwa lazima yawe na maji;mfano, nilikuwa naosha miguu, kichwa halafu na kupaka maji kidogo tumboni maana ukaguzi ulikuwa unaanzia hayo maeneo.Hivyo mama alikuwa akishika tumbo akikutana na ubaridi anajua nimeoga.Nilikuwa nakata siku nyingi sana bila kuoga kwa mtindo huu.Utoto!
Duu umenichekesha sana
 
teh teh teh asee mmenikumbusha mbali kinyama yani...!!! Those days.. Mama ananisugua na dodoki yani duuh.. Ilikua nikiamka asubuhi natamani kumtoroka maana baridi la lushoto hata ukiogeshwa na maji ya moto afta few mins mziki wa baridi unakua si kitoto..!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom