Enzi hizo JKT....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kwa tuliobahatika kuhenya JKT enzi hizo,embu tujikumbushe top ten za disco la enzi hizo. Naanza:
Kule kwa chinova,
kule kule,
kule kwa chinoova,
tunasonga na kuzimbabwe,
masika na toye,toyela
toye,toya na kuzimbabwe,
mama na babaeee,tunasonga na kuzimbabwe.
Jamani ongezeni mistari hapa na pia angusheni na ma singo mengine yaliyovuma JKT enzi hizo !
 
hujambo sweetie?
Za masiku?
Ninyi ndo mlikuwa wajongomeaji!
Sijambo B', mie nimemaliza wakati baba wa Taifa kesha rip so sijayakuta hayo mambo ya jkt, niliambiwa zamani watu walipelekwa kwa lazima wakimaliza O au A level ni kweli?
 
Hili dudu linaloitwa JKT silipendi! Nashukuru wakati namaliza elim ya upili hili dude halikua lazma vinginevyo ningeteseka sana.
 
kwa mujibu wa sheria ukimaliza form six au kozi yoyote sharti ukahenye JKT.Ukuruta (mafunzo ya awali) ilikuwa si mchezo,wote ni bukta na t shirt kwa kwenda amini.Tulikuwa tunachoka kiasi kwamba mnalala msichana hapa mvulana hapa wa hamgusani.Ukishazoea ilikuwa inakuwa big fun maana mnavumbua mbinu kali sana za survival,ukichanganya na ujana,those days!
 
hayakuwa mateso kihivyo,mwanzoni sawa shauri ya uraia lakini maafande wakisha kufanya uwe askari unakuwa ok.Nakumbuka best day jkt ilikuwa siku ya kwenda range,mnakwenda kufundishwa kupiga risasi live,kijana unangurumisha SMG!
 
Asante kwa ufafanuzi japo bado sijavutiwa na huo mtindo ulotumika enzi hizo wa kuwalazmisha wahitim kupitia huko.
 
kwa mujibu wa sheria ukimaliza form six au kozi yoyote sharti ukahenye JKT.Ukuruta (mafunzo ya awali) ilikuwa si mchezo,wote ni bukta na t shirt kwa kwenda amini.Tulikuwa tunachoka kiasi kwamba mnalala msichana hapa mvulana hapa wa hamgusani.Ukishazoea ilikuwa inakuwa big fun maana mnavumbua mbinu kali sana za survival,ukichanganya na ujana,those days!
Kuna mtu aliwahi kunipa hadithi kama hii ya kwako kuwa wanachoka mpaka inafika mahali hawatamaniani tena,...inaonekana ilikuwa raha sana lol.
 
Kweli tena nakuapia, sipendi sipendi tena sipendi mtu kunishurutisha kujiunga na kikundi au kampuni flani bila ridhaa yangu.
Mie sipendi kabisa kufanya kazi ngumu yaani wangenipeleka kwa marungu...lol.
 
Asante kwa ufafanuzi japo bado sijavutiwa na huo mtindo ulotumika enzi hizo wa kuwalazmisha wahitim kupitia huko.
Israel na Germany system hii ya vijana kwenda jeshini kwa mujibu wa sheria mpaka leo bado ipo,ina manufaa yake makubwa tu (for those countries which can afford it).
 
Back
Top Bottom