Enzi hizo: Hii picha Rais Kikwete alikuwa wapi hapa?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
1435664259594.jpg
 
namwona fisad lowasa kashika tama hapo kwa nyuma
nyerere hakuwa na utani hapo nyerere anawapa somo uvccm
 
Hivi kwanini wa jf wengi wanamwita Lowasa fisadi? Hivi huyu Lowasa hana mazuri aliyofanya watanzania wakayakumbuka? Hivi ikitokea akapenya na hatimaye kufanikiwa kuwa mkuu wa kaya mtaendelea kumwita fisadi? Mbona sipati picha
 
Kibaka ni kibaka tuu. Hata akiwa ikulu atabaki kuwacfisadi tuu.
 
Hivi kwanini wa jf wengi wanamwita Lowasa fisadi? Hivi huyu Lowasa hana mazuri aliyofanya watanzania wakayakumbuka? Hivi ikitokea akapenya na hatimaye kufanikiwa kuwa mkuu wa kaya mtaendelea kumwita fisadi? Mbona sipati picha

Makosa mawili hayawezii undaa jambo sahihi moja .

Kama kweli ni au ali kuwa fisadi haimaanishi mema aliyowahi kuyafanya yatafuta baya alilotenda mwanzo..
 
Ni wake za Membe hao
 
Makosa mawili hayawezii undaa jambo sahihi moja .

Kama kweli ni au ali kuwa fisadi haimaanishi mema aliyowahi kuyafanya yatafuta baya alilotenda mwanzo..

Usivyonielewa sasa huo msemo wa makosa mawili hauzai zuri umekujaje hapo wacha tarehe 12 utajinyonga wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom