Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili

hayo matumizi yako yako juu sana, wanawake wanapaswa kusaidia pia lakini wanaume ndio wahusika wakuu. mnafikiri mlivyoitwa vicha ni urembo? mnapaswa kuwakilisha, msipowajibika kwenye familia zenu mtawajibika kwenye nyumba ndogo? siku nzote furaha ya mke na watoto huleta baraka kwa baba.

Kwani nyumba ndogo ni nani kama sio wanawake wenzenu?
 
Back
Top Bottom