Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
- Thread starter
- #21
gfsonwin,umeeleza vizuri sana na umeelewa maana ya thread hii. . . . . .Uliposema mpata nimpate wangu ulikua unamaanisha nini?Lets say kwamba nimekutongoza na ukajua niko kwenye hali kama hiyo,je utanikubali na ushamba wangu?Maana naweza kua hata eneo husika sijui na shughuli inavyofanyika pia sijui!Utanikubali??