Enyi wake, watiini waume zenu kama jinsi CUF inavyomtii CCM

ccm kukubali ndoa ni mwanzo wa kuonyesha udhaifu na kushindwa!napenda kuwaambia wana ccm na cuf ya kuwa hii NCHI NI YETU SOTE,NA KATIBA YETU NI YETU SOTE hivyo mtake msitake lazima tukae pamoja tukubaliane juu ya katiba mpya
Ndoa ni ndoa tu! Kaazi kweli..
Hao Cuf ni vimada wa CCM.

Wakuu, BONGOLALA, King'asti na Ismaily
hili la kuuita ushirikiano wa CUF na CCM ni ndoa, wenyewe hawapendi hili neno!.
imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
Matusi hayo.

Mimi ni CCM lakini wewe Pasco hii lugha uliyotumia hapa ni ya kishenzi na si lugha ya kisiasa.

Punguani wahed.
Nisianze nini wewe? hakuna ndoa ya kisiasa duniani, sijawahi kuona, onesha moja kama u mkweli.

Hizi lugha za kishenzi pelekeni hukohuko, kama kwenu ni kawaida wengine zinatuudhi. kama huo si ushenzi na matusi ni nini?
Muafaka wa kisiasa wa Zanzibar ni faraja kubwa kwa Wazanzibari kushirikiana na kuijenga nchi yao, na huo muafaka si ndoa, kufikiri hivyo ni kuwatukana Wazanzibari na matusi si uungwana.

Hayo yalianzia huku bara baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ikiitwa ndoa ikapigiwa kelele kuwa hilo si neno jema ni kutukanana, siku hizi halitumiki sasa

Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

Pasco
 
Back
Top Bottom