Enyi viongozi wetu wa dini

BENSON MSEMWA

Member
Aug 10, 2010
30
2
Nitafurahi na kuwa na amani sana kama kila kwenye mikusanyiko ya ibada zetu za ijumaa,jumamosi na jumapili hasa mwaka huu wa uchaguzi viongozi wa dini zote kutenga muda maalum wa kutoa elkimu ya uraia ili watu waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura,tuweke kando itikadi zetu,tulikomboe taifa na ombwe la uongozi kwa kuchagua mtu na si chama wala dini yake,taifa ni letu sote nanyi viongozi wa dini ndio watu pekee wa kulikomboa taifa
 
Back
Top Bottom