Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,100
- 6,022
Nina mpango wa kufanya M. tech, lakini nina interest na vitu hivyo viwili, sasa inabidi nichague moja, vipi katika mazingira ya huku kwetu Tanzania (na worldwide) ipi kozi nzuri yenye wide oppunity kuifanya, napata ugumu sana kufanya maamuzi kwa haraka, naomba msaada wenu wadau. Kozi zote ni 2yrs duration.[ Master of Geology and Master of Environmental Sanitation]