Enough to create misunderstandings Tanzania terminal feverish toilet in the crude

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,460
4,359
Line traversed many countries, has witnessed all kinds of airports around the world, both super-luxury, there are mini-simple type, however, gives the Arusha airport impressed. Arusha airport as a base camp COASTAL airline is undertaking Serengeti National Park, Mount Kilimanjaro, Zanzibar, Dar es Salaam's aviation hub.

Unconsciously, into a European-style small house, it is hard to believe that this is the Arusha airport terminal, check-in also has simplified a lot, the author goes on a ticket to be a handwritten signature check on it, no boarding pass.

Jamani nimepitia mitaa hii ya yahoo imenishangaza sana, jaribu kupitia uone airport zetu ambazo tayari tunataniwa kuwa ni kama vyoo. Binafsi sijataka kuamini kabisa NA NINAOMBA KUULIZA HIVI KWELI HII NDO AIRPORT YA ARUSHA?. Hivi kwanini KIA isitumike kuwa airport ya Arusha, Moshi na Manyara? Kuna haja gani ya vi-airport vya ajabu duniani kama hivi? Waiting longue (sorry banda) linaviti vya plastic vilivyopangwa kukwepa maji yanayovuja laghaula! I'm pissed off!

Arusha airport siyo International Airport. Ni airport ndogo inayohudumia safari za ndani na inatumiwa na videge vidogo (charter flights) zinazopeleka watalii kwenye mbuga za wanyama pamoja na private flights za ndani. KIA ipo na inatumika kutua nAa kurusha ndege kubwa zinazoleta/kutoa watalii na abiria wengine kutoka nje ya nchi pamoja na flights za ndani za ndege kubwa kama za Precision Air. Sasa tatizo liko wapi?
 
Today 05:42 PMRuge Opinion
Re: Enough to create misunderstandings Tanzania terminal feverish toilet in the crude

nchi hii hai endelei kwa sababu ya kuwepo watu kama nyinyi,yaani kial kitu ni ku take easy,yaani wewe ruge umesema tatizo liko wapi?yaani badala ya ku sema tu improve,wewe unasema inafaa tu.yaani arusha ni geneva of africa,and in my point of view,inahitaji a decent airport,as kujenga a huge international airport is out of dream in this bongo land,unless yesu afufuke tanzania.pls let us try to be greedy for development,siyo kila kitu sis ni kusema tatizo liko wapi ama kila kitu sisi ni kuridhika tu.lets be greedy guys,greedy for development,greedy to improve our lives.
 
ndege ngapi kubwa za kimataifa zinaingia arusha kwa siku??kuna KIA just few miles away,je ukijenga airport kubwa kama unavyosema KIA itafanyakazi gani??unajua airport kama heathrow inahudumia miji mingapi hapo UK?hio airport ya arusha iko hivyo kulingana na ndege zinazotua hapo,otherwise tubomoe KIA tujenge hapo arusha kitu ambacho ni upumbavu wa hali ya juu,maendeleo sio kuwa na airport nyingi ni kuwa na airport kulingana na idadi ya ndege/abiria.
 
Back
Top Bottom