Enough is enough!

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,066
1,136
Jamani imetosha, watz 2amue nani wakututawala, serikal gani isiyojali wala kuckiliza maon ya wananch wake. Wanachuo wanateseka na kuna eti bodi ya mkopo. Vijana popote tulipo tujipange tafadhali, nchi zote dunian zimepitia kwenye mgeuzi ya ukweli. Angalia France 1789, walifanya mageuzi na kuundoa utawala uliokuwa una gandamiza watu. Uingereza nao karne ya 17 vivyo hivyo. Na toka pale mabadiliko ya ukweli yalionekana. So people lets wake up. Tuna nia na uwezo, ukombozi wa kweli ni lazima Tanzania na ni jukumu letu watanzania wote. Lets start ply and plz.
 
Tafuta kichwa cha kuvutia siyo hiki
mtu una hoja nzuri lakini unafumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom