Enock Bwigane Mtangazaji wa TBC1

Mi namkubali sana enock akitanga habari za michezo huwa anapenda kuonyesha magoli, namfananisha na pedro pinto wa cnn nachukia kuangalia habari za michezo tbc alafu atangaze mdada,
 
swadaktaa,hujakosea hata kdg.
 
Back
Top Bottom