Ronn M JF-Expert Member May 2, 2012 1,279 683 Jun 10, 2012 #117 Mkuu Saint Ivuga tafuta basi hata ya kibongo moja kubalance hapo! Hivi kale kanyumba ka Gavana ka bilioni moja, au kale ka Maige, hakafikii viwango? Ka Ngeleja je? Vipi vile vijiuniform vya ATCL havikidhi hadhi? Basi hata wale faru wa mkulu wa bilioni 7. Ukikosa kabisa weka scrapers za TRL, ni identity ya taifa anyway Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu Saint Ivuga tafuta basi hata ya kibongo moja kubalance hapo! Hivi kale kanyumba ka Gavana ka bilioni moja, au kale ka Maige, hakafikii viwango? Ka Ngeleja je? Vipi vile vijiuniform vya ATCL havikidhi hadhi? Basi hata wale faru wa mkulu wa bilioni 7. Ukikosa kabisa weka scrapers za TRL, ni identity ya taifa anyway