English please! Kwa wataalamu wa kingereza- msaada

Judgment

Member
Nov 1, 2011
45
13
Naomba kusaidiwa ufafanuzi baina ya maneno haya mawili :
1. Repeat
2. Again
sijakurupuka ktk kayauliza nimeshayafanyia uchunguzi wa kina nakuta mwishoe ktk matumizi yanaleta tendo la kufanana mf. Ukimwambia mtu
-Repeat drawing
- Drawing again
Tendo linakua la kufanana ndy kusema haya maneno ni kitu kimoja au?
 
Mh, hapo hata kama sio mtaalam wa hiyo lugha nadhani si sawa. Hiyo ngeli haijatulia.
 
Naomba kusaidiwa ufafanuzi baina ya maneno haya mawili :
1. Repeat
2. Again
sijakurupuka ktk kayauliza nimeshayafanyia uchunguzi wa kina nakuta mwishoe ktk matumizi yanaleta tendo la kufanana mf. Ukimwambia mtu
-Repeat drawing
- Drawing again
Tendo linakua la kufanana ndy kusema haya maneno ni kitu kimoja au?

repeat drawing- rudia kuchora
draw again- chora kwa mara nyingine.
 
Hayatofautiani sana kimaana ila yanatofautiana ktk nafasi yanapotakiwa kukaa..e.g before/after a noun,before/after a verb,with/without -to infinitive i.e to repeat it..to again it, hapa kikubwa ni positioning in a phrase.
 
Kingo, Nyani ngabu, Mwita 25 & Rweye , wadau nawashukuruni kw benefit mlionipa, 2po pa1 naamini km mtu una'attend jamvini daily na ukaondoka na wigo mdg wa ufahamu ni umeyataka mwenyewe!
 
Back
Top Bottom