English learning thread

Kuzungumza na kuelewa Kiingereza kunategemea sana na ufahamu wa matumizi ya maneno. Mimi kilichonifanya niwe fluent katika lugha ya Kiingereza ni kusoma vitabu vingi na magazeti mengi. Nimesoma series yote (novels) ya James Hardley Chase (zaidi ya vitabu 90), Novels nyingi sana za African writers, cartoons series nyingi (kama vile Tintin, Asterix, Andy Cap, X-men, nk.). Pia watoto wangu walipokuwa wadogo tulikuwa tunaangalia pamoja cartoon zao kwenye runinga. Nilisikiliza sana taarifa za habari na audio books za Kiingereza.

Kusoma vitabu na majarida ya Kiingereza ni njia moja nzuri sana ya kukuza msamiati wako na pia kuona maneno yanavyotumiwa. (Chagua vitabu unavyovipenda kama vile vya hadithi). Njia hii itakusaidia kuweza kuzungumza, kuandika, na kuielewa hii lugha ya Kiingereza.

Tatizo tulilokuwa nalo siku hizi ni kuwa watu hawasomi vitabu au magazeti kwa sababu kila wakati uko mbele ya runinga kwa habari na burudani.

Nitajaribu kushiriki kwenye huu mjadala na naomba msinichukie kwa sababu nitakuwa nawakosoa watu mabandiko yao ya Kiswahili na Kiingereza. Na ili tuwe kwenye ngazi moja, atakaeona kosa langu lolote la matumizi ya Kiingereza au Kiswahili hapa basi naomba anisahihishe haraka sana. Lakini ili tujifunze vizuri, punguzeni kejeli na ngebe. Utani wa kawaida sio mbaya.
 
Nitasahihisha bandiko lako ndani ya mibano kutumia rangi nyekundu.

Hakuna anayekifahamu kiingereza chote 100% hata c.e.o wa Oxford, tabia mojawapo ya lugha ni kukua na kujiongeza kimisamiati.. Keep on learning hadi kufa kwako endelea tu kujifunza usichoke.

Practice makes perfect!
 
Walimu kabla sijaanza kufanya mazoezi hapa ya kuandika kiingereza naomba kujua jinsi ya kutumia haya maneno.
Nikisema hivi nakuwa namaanisha nini?
I have been
I had been.
 
Nitasahihisha bandiko lako nje ya mibano kutumia rangi nyekundu.

Performance& competance ndo mpango so ngeri tu a ta kiswaz kigumu

Performance & compet​ence ndio mpango sio ngeri tu hata kiswazi kigumu
 
what is simple way?
are you ready to go?
have you succeeded to get money?
what was problem?
who were in the classroom this morning?
what was taken?
who had made it?
could they afford that price?

Some corrections:

What is the simple way?

What was the problem?

Who made it?
 
what is simple way?
are you ready to go?
have you succeeded to get money?
what was problem?
who were in the classroom this morning?
what was taken?
who had made it?
could they afford that price?

1. What is the simple way?
2. Have you succeeded in getting the money?
3. What was the problem?
 
Folks,

If we really want to learn both languages (English and KiSwahili) properly, please refrain from using slang, shortcuts (the kind used in social media between friends). If we are not serious in this endeavor it will be an uphill struggle. Just a word of caution.
 
I have been: this is used to show an action which has been taking place for a period of time and is in progress until now. eg, 1.I have been working since morning.
2.You have been preparing breakfast.
3.He has been playing football. but you can learn, THE PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE
In case of I HAD BEEN: learn,THE PAST PERFECT CONTINUOUS TENSE, Is formed by HAD +BEEN+ING Used to show an action that had been going on in the past up to the another action started eg: 1.I had been playing football
2. You had been teaching English.
actually I have tried to help but I am not fluent in English. they can also correct me
 

Similar Discussions

47 Reactions
Reply
Back
Top Bottom