English language proficiency .

Luraja

Member
Oct 15, 2012
27
4
Nauliza kama mtu amesoma degree yake ya kwanza kwa kingereza na kufaulu kuna umuhimu gani wa kuambatanisha cheti cha English language proficiency pindi unapokuwa unaomba scholarship nchi za nje?
 
Wanataka kujiridhisha tu kama kweli ngeli inapanda! Lakini ni nchi na nchi ndiyo wanataka hayo mambo!Kuna nchi nyingine hawanampango na hiyo kitu na kuna nchi nyingine mpaka uwape vyeti vya TOEFL au IELS ambavyo vinapatikana baada ya kupiga pepa embassy za marekani na UK.
 
Mkuu hizo pepa hazifanyiki kwenye embassy. Toefl inafanyika UCC, UDSM, na IELTS ni british embassy if am not mistaken
 
Back
Top Bottom