English course

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Wakuu JF
nahitaji kufahamu ni sehemu gani katika mkoa Dar ama Arusha panapotoa mafunzo mazuri ya English course ya kuongea na kuandika kwa muda wa miezi 2 tu.
 
Wakuu JF
nahitaji kufahamu ni sehemu gani katika mkoa Dar ama Arusha panapotoa mafunzo mazuri ya English course ya kuongea na kuandika kwa muda wa miezi 2 tu.

ungekuwa haujui kiingereza usingeweza kuandika English course kwa ufasaha. halafu kwa nini? utasoma vp Dar na Arusha at the same time?
 
Sikushauri uende darasani kwa ajili ya kiingereza kwasababu walimu wengi ni vilaza tu. Badala yake nakushauri ujenge tabia ya kuangalia BBC na Skynews na jenga tabia ya kusoma gazeti la Citizen, tafadhali usisome The African. Pili jitahidi kupitia novel za kiingereza (ingawa watunzi wengine ni vilaza tu). Jitahidi kunote down maneno mapya unayokutana nayo kila siku na tafuta tafsiri hapohapo.
 
Pia, kila siku hakikisha umejifunza maneno 5 mapya, tumia dictionary kujua maana zote za hayo maneno na jinsi ya kuyatumia. Baada ya miezi 5, anza kujaza crosswords, tafuta vitabu vya crosswords.

google: english short stories. Hizi zitakuwa za ukurasa mmoja au kurasa mbili. hakikisha unasoma short story moja kila siku na kuielewa jinsi ya matumizi ya lugha.

All the best.
 
Back
Top Bottom