English course british council dar-naomba ushauri

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,238
5,432
Mimi nikijana nimemaliza form four na kingereza changu siyo kizuri.kunawatu wamenishauri nijiunge na kozi fupi za kiingereza pale british council.napenda kujua kama kunamtu anauzoefu na mafunzo ya hapo kama yaneweza kunisaidia kujua lugha hiyo kwa kuandika na kuongea ndani ya miezi mitatu kama mda wa kozi yao ilivyo.mwenye uzoefu naomba anipe ushauri.natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom