Engineers tuchakachue key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone

Silanda

Member
Jan 8, 2011
9
0
ndugu zangu nisaidieni key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone mobile connect.ZTE corparation.(nawashukuru sana DANSEL,AMBILI,na Drphone kwa ushauri wenu)
 
tafadhali weka post yako kwenye topic ya free huawei unlock code tupunguze msongamano na kama mpaka asubui utakuwa ujatumiwa nitakumia kesho nikfika job ila wakuu atakayewai kumcalukuletia acziweka hapa aziweke kwenye main topic alaanzisha calvin ni hayo tuwapunguzie na mamoderator kazi
 
ndugu zangu nisaidieni key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone mobile connect.ZTE corparation.(nawashukuru sana DANSEL,AMBILI,na Drphone kwa ushauri wenu)

ZTE MODEMS,just download joinair dashboard and use it instead of vodafone dashboard..
your done
 
Usiwe na wasiwasi mkuu pata maelezo kidogo hapa, Mkuu hizi modem za vodavofone zinakuwa haziko unlocked ila kinachokuwa kimefungwa ni dashboard yake ( unayoitumia kucconect) sasa ukitaka kupiga laini zote yapasa uweze kuwa na dashboard iliyo free ambayo JF wengi wanatumia JOIN AIR haya download join air hapa http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rar ukishaidownload then uko free kudondoka na mitandao yote: Note ukishafanikiwa rudi hapa na feedback ili tuende step nyingine mkuu: Usisahau kugonga senkyuuuuu mkuuu
 
je vodaphone k4505-z naweza kutumia hio dashboard ili kutumia line yoyote
 
Hapa tunataka great thinking kama hii. Maisha kuona mbele
 
naipenda jf,hivi kauli mbiu ya jf nani aliitunga? ie great thinker
 
dah nina modem ya voda wakuu heb nisaidieni...nafanyaje

note:mi si mtaalam wa it just have a normal knoweledge nikiwekewa njia naweza kufata
 
je vodaphone k4505-z naweza kutumia hio dashboard ili kutumia line yoyote

yap.we download joinair..instal it.then badala ya kutumia ile ya voda dashboard,u just use joinair dashboard.all da bst,ila hakikisha vodacom dashbord ume exit.ndo utumie joinair
 
dah nina modem ya voda wakuu heb nisaidieni...nafanyaje

note:mi si mtaalam wa it just have a normal knoweledge nikiwekewa njia naweza kufata

angalia aina ya modem uliyonayo.je ni huawei ama zte?behind ya modem yako imeandikwa.
 
Usiwe na wasiwasi mkuu pata maelezo kidogo hapa, Mkuu hizi modem za vodavofone zinakuwa haziko unlocked ila kinachokuwa kimefungwa ni dashboard yake ( unayoitumia kucconect) sasa ukitaka kupiga laini zote yapasa uweze kuwa na dashboard iliyo free ambayo JF wengi wanatumia JOIN AIR haya download join air hapa http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rar ukishaidownload then uko free kudondoka na mitandao yote: Note ukishafanikiwa rudi hapa na feedback ili tuende step nyingine mkuu: Usisahau kugonga senkyuuuuu mkuuu

Mkuu asante nimeweza kudownload hilo file ila bado application yake kuchakachua hii moderm ya ttcl.
Thanks
 
Back
Top Bottom