Engineering

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
Tuongelee yote kuhusu engineering Tanzania,
Cdhan kama nimekosea jukwaa hapa ndo mahala pake, Ningependa kufahamishwa kuhusu soko la engineer tanzania, Tuongelee yote kuhusu ajira, Tenda zao pamoja na mishahara, Kama vile Civil Engineering
 
kwa maelezo na maswali uliyouliza hii inafaa kwenda kwenye ajira na kazi. it has nothing to do with techonology

Ni mtazamao wangu tu
 
kwa maelezo na maswali uliyouliza hii inafaa kwenda kwenye ajira na kazi. it has nothing to do with techonology

Ni mtazamao wangu tu
Uko sawa ila yapaswa ujue hiki kitu TECHNOLOGY AND SCIENCE FORUM yaani techonololjia na sayansi, Kwa haraka haraka utaona iende huko unakodhani, But engineering is about science bana. Asante kwa mchango wako, unakaribishwa tena
 
Kwa uzoefu wangu wa kuangalia ajira na tenda kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari hapa bongo Civil engineering ina tenda na kazi nyingi sana ukizingatia nchi yetu inahitaji watu wenye utaalamu huo ktk projects mbalimbali za kujenga miundombinu mipya kama mabarabara, madaraja, vikwangua anga na hata projects mpya kama kujenga mji mpya wa kigamboni, airport na barabara za magari yaendayo kasi.
Kwa upande wa mshahara inategemea kampuni na kampuni lakini kampuni nyingi zinatoa kuanzia kilo 9 na kundelea, hii nazungumzia kutokana info nilizozipataa kutoka kwa wana ambao ni ma civil engineer, lakini pia usishangae kulipwa chini ya hapo maana experince nayo inamata na pia uwezo wako wa negotiate mshahara.
 
Back
Top Bottom