Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scholarship za China hizo zafanya kazi
upuuzi .. hakuna mkono wa engineer hapo/hizi projects ndogo ndogo za mitaani huwa zinachukuliwa kwa maelewano ya bei poa na mafundi uashi wa mitaani ambao hata veta hawakujui
unamaanisha ni uncle JAtakuwa mtunukiwa wa Degree ya Heshima
Opinion 2Haiwezekani!
1. Nafikiri kwanza ngazi zilisahaulika
2. Likaja wazo la kuweka stairs ku-access first floor na ikawezekana
3. Huyo kichwa maji wa pili akataka ku-save costs akasimamisha mirunda juu ya ngazi za kwanza na akaharibu hata wazo la pili
4. Funzo…unaweza tumia mafundi cheap na uka-succeed mara moja moja ila siku iki-backfire ndo kama hivyo!
Huyu Bwana Yuko Sahihi
Huyu Bwana alitaka kuwa na ofisi mbili, moja gorofa ya chini na nyingine gorofa ya kwanza, akamwabia designer wake unjaua hili jengo ni refu sana na ofisi zangu ziko karibu sana ila ngazi za ndani ziko mbali kule mwisho wa jengo na nitakuwa napoteza muda mwingi sana wa kutembea ninapotaka kutoka ofisi hii ya chini kwenda ya juu au kutoka ofisi ya juu kuja ya chini, nakuomba unifanyie utaratibu uniwekee ngazi ya nje ili niweze kutoka ofisi moja kwenda nyingine kwa muda mfupi, designer kamwekea ngazi fundi kaijenga. Baadaye likaja wazo la kuhamisha ofisi ya ground floor ihamie second floor, wazo lile lile la ninapokuwa ofisi moja nataka kwenda ofisi nyingine nitue muda mfupi likawa impemented and it is working. Wakaona hamna haja ya kuboboa gazi za kwaza kwa sababu hazimzuii yeye anapokuwa ofisini kuaccess ofisi nyingine kwa kutumia muda mfupi
Wakati mwingine tunaona fulani amekosea kumbe ni sisi hatujue lengo lake nini.
Don't look at it from engineering/architectural point of view