Engine 12R ya Toyota Hilux Pickup Inauzwa

Enumi

Member
Mar 15, 2010
5
1
Nina Engine 12R ya Toyota Hilux ambayo nataka kuiuza. Haina starter wala carburreter yeyote anayeihitaji au anajua muhitaji anijulishe. unaweza kunitumia email kwenye address yangu ambayo ni alphonce@maths.udsm.ac.tz au kunipigia simu 0713344431.
Bei ni maelewano.
 
Back
Top Bottom