Engagement Ring

ukiwa na pesa basi chagua ya bei ya juu yaani ndio itaonyesha unamvalue

sio uwe na pesa then unaenda kununua the cheapest

Asante Mbongopopo, nitajitahidi ninunue ya bei ya juu kwani namthamini sana mpenzi wangu na pia nampenda sana. Ngoja nijipange fresh, i hope ataifurahia.
 
Mbona twala bia na korosho au karanga
kahawa na udongo waupendao akina mama wakiwa wajawazito

Ntakeni radhi nyie vijana!...Msiudhalilishe umri wangu bana!...
Tangu lini visheti na Konyagi vikakubaliana!
 
The Finest, hilo Duka laitwaje? Na je wanafungua jmosi? Maana mi ofisi ipo mitaa ya Mwenge hivyo Posta ni mpaka Jumamosi na Jumapili tu. Shukrani sana mkuu kwa info na Wish you the best towards your wedding.

Aiseee, Finest hebu tushirikishe wazee bana!! hapa nini kinaongelewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom