Engagement...on the road to formalize it with Catherine

Tamaduni za "kwetu" ni kukusanya watu wengi wakati wa mahari na engagement.

Kwa vile nyumba yetu haina ukumbi wa kutosha, na nisingependa wageni kuwafungia turubali mtaani nje, nimeona nikodi ukumbi.

Tatizo ni lipi?
Kwa kweli hamna tatizo ila ze cost my dia...
 
My dearest brother, suit yourself. Inategemea na expectations zako pia. Binafsi kukaa mbele ya kiti cha enzi and everybody staring kwangu sio fun hata kiduchu, kama mfano tu. Napenda kuinterract nicheke all the time na wati wote. So hata bday bash is different, ni dinner na very few pple.kama sio mpenzi tu.

Unamjua mpenzio, unajua anapenda nini. Fanya kitakachompendeza. Nimeona wengine engagement wanafanya baada ya kulipa mahari. Ungeweza kumtumia rafiki yake wa karibu ama ndugu yake kumdodosa ujue kitu gani kitamfurahisha.

But my ideal engagement ni ya two pple, hapo my heart melts!

I like you already!
 
mtotowamjini, where are you now!?? si mlishinda jana kwa msaada wa beki namba 12!!!
 
Last edited by a moderator:
Umesha onekana ukweni? Na umesha jaribu ukaona size ndo yenyewe?
 
I think I want an intimate suprise...habari za mbele za watu mi sizipendi sanaaa.

Na kweli kuna haja ya kuhakikisha unafahamu tabia ya mpendwa wako kabla hujafanya kitu (out of love) ila yeye kikamkera..i get ur point!!!:rockon:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom