Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

Kiukweli kama umemisi comedy unaweza cheki bunge ukapata furaha.Maana ya uwakilishi wa wananchi umeisha,mwenyekiti wa kikao hana busara anaropoka mfano"mnyika kaa chini usitake umaarufu".
Sijajua kwanini amemtoa machali(MB)
Kwa bunge hili hakuna maendeleo.
 
Wadau tumshukuru huyu mama kaweka wazi bila kuficha. Haiwezekani siasa iue wananchi wetu kiasi hiki.

Naona mmeamua kutoka na singo nyingine - "CHADEMA wahusika wa migomo". Mtaongea yote muhula huu, nyambaf.
 
da!sioni tofauti ya wasomi wa bungeni na sisi tusio bahatika kwenda shule huku saiti.
 
Huyu mama vyeo alivyopewa na JK ndo vinamzuzua.......hala lolote, Nimemshangaa sana kusema Ulimboka amepewa hiyo adhabu ya kipigo na mwenyenzi Mungu, Huyu mama kachangalikiwa. Mungu endelea kuwapiga upofu.

Ukombozi is around the corner.
 
Rushwa anayoitoa Manyanya kwa Jk hata TAKUKURU hawataweza kuichunguza kwa sababu ni ya kujipeleka mwenyewe. HIVI vyeo vingine utafutaji wake ni wa hatari na kudhalilisha sana. Eng. Manyanya naye DHAIFU ameshindwa kufight kihalali anakuja na style mpya ya kujilainisha. TUNA MWAARIFU KUWA JK YUKO BURUNDI HAJAMWONA AJARIBU TENA KESHO.
 
Something must be done................hasira ninayosikia right now, i'm literally shaking

Usishangae dada yangu, hawa watu wameamua kuvuruga makusudi
ili wananchi wasijue kinachoendelea kuhusiana na Dr. Ulimboka.
Inavyoonekana huu ni mpango kabambe wa kuwachonganisha
Chadema na wananchi kama walivyofanikiwa kuwachonganisha
madaktari...
 
hivi haiwezekani kum Ulimboka Mabumba...akiwepo lazima achafue hali ya hewa sijui likoje
anaishi wapi huyu..
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi

Huyu mama amekuwa kihiyo kweli kweli analiwa jicho sana...
 
huyu mama ni kilaza kweli anataka ajira pia zitolewe kwa ukabila eti ili waweze saidiana kikabila. hovyo sana du kweli ni zero
 
MH. Machali alitaka kuchangia na ametolewa nje na hii inaudhi mno

inaonekana wazi kuwa kuna ukandamizaji wa upinzani. wanachi wanaona lakini... Kisaikolojia watu hupenda kuwaonea huruma wanyonge. hilo CCM walijue
 
Hii ni aibu kwa chama kubwa kama nyinyiem kutapatapa kiasi hiki.Hii ni dalili ya chama kufa,nawaomba mkaulize KANU ilikufaje.Mabuba+chema=Dhaifu=mambwepinda=manyanya=msangi
 
1. Ni kwanini wabunge wa CCM wanatumia nguvu kubwa kuzima hii hoja ya Dr Ulimboka?

2. Ni kwanini siku 5 zimepita hakuna hata mtu mmoja amekamatwa kuhusiana na huu unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka?

3. Stella Manyanya ana information gani kuhusiana na unyama huo?

4. CCM ndio wenye serikali, kwanini wasiwakamate watu wanaoona wanaleta mtafaruku kwenye sekta ya afya kama wanaona wamevunja sheria?

5. Stella Manyanya anaamini madaktari wa Tanzania hawana akili/utashi wa kuamua bila ya kusukumwa na mtu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom