Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

Wadau tumshukuru huyu mama kaweka wazi bila kuficha. Haiwezekani siasa iue wananchi wetu kiasi hiki.
 
Sikuangalia ila jamaa angu aloangalia, amenambia ni ujinga mtupu. Kila mtu anavutia kwake, na kuna ambao wanaamini kwamba kiti kina upendeleo. Kama vipi wafunge tu bunge maisha yataendelea bila wabunge!!!!!!!!!
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi

Tume ya katiba, nimezima tv, Stella Manyanya kasema hayo maneno hapo kwenye red?
 
I see, Mungu tuepushe na haya na yanayotabiriwa kutokea. Hali ni mbaya bungeni.
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi
Uinjinia mwingine bwana mashaka matupu! Nafikiri ulipatikana kwa staili ile ile ya kuegemea kwa wenye uwezo.. maana hata ule umaarufu kwenye kamati teule ya "richmond" aliupata tu kwakuwa kulikuwa na wenye uwezo ndani ya kamati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom