analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 729
- 612
Jana nilisikitika sana kUmsikia Eng. Stella Manyanya akiwatetea wafanya Biashara ya Mafuta wakati wa Mjadala wa dharura Bungeni kuhusiana na Mgomo wa Hawa wtu. Nikafikiri Ameghafirika, Lakini sasa hivi naangalia kipindi cha Jambo TZ, TBC1, Naona huyu Mama anaendelea kujitahidi kuwatetea hawa wafanya biashara walionifanya hata mimi nishindwe kwenda shamba leo kwani trekta halina mafuta.
Huyu mama anasema ati kuwe na majadiliano, for how loooong!!! Mama cmooon!!!. Huyu mama anamaslahi gani kwa hawa watu???. Wabunge wenzake wote wameoneshwa kuguswa na hili swala, isipokuwa yeye.
Huyu mama anajali zaidi maslahi ya hawa wafanya biashara kuliko well being ya watanzania wakulima kama sisi.
AAAAAAAAAAAAAAGGGGGGGGGGGGGGGHHHHHHHHHHHHHRRRRRRRRRRRRRRRRRR.