Enermies of the doctors

Msendekwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
442
168
Ikumbukwe kuwa Dr Mponda na Dr Nkya walitangazwa kuwa maadui wa madaktari na jumuia ya madaktari, na leo wametupwa nje.
Aibu kwao wote waliowakejeli madaktari wakati wa mgomo wa mwisho!
Next goal attained, after Nyoni&Dr Mtasiwa were ousted!
 
silence from doctors .... a bravery move behind sweeping of maladministration of bogus former Health minister and his nerdy assistant
 
Bila shaka na yale madai mengne ya Madaktari Mkulu anayafanyia kazi.
Zile pesa za call kwa rate mpya zimeshaanza kufika kwenye halmashauri.
 
Back
Top Bottom