Eneo zuri kwa camp site linauzwa.

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,714
1,906
Eneo zuri linalo faa kwa Camp Site, Shule na shughuli nyinginezo kama makazi, lenye ukubwa wa 80m by 90m linauzwa. Lipo Mto wa Mbu eneo la Comworks njia ya kwenda Ul noto Lodge, 1.5km kutoka main road. Wasiliana na Pastor Philipo Tel +255-752428575 ua Capt Deo +255-755-764394. Bei ni maelewano.
Ubarikiwe.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom