Eneo linauzwa heka 8 madale

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
eneo linauzwa madale heka 8, lina hati ukinunua unapewa na hati ya kiwanja. Bei mil 64 Tshs.
Kwa maelezo zaidi piga simu number 0755955385.
 
Duh, mkuu nikisikia hilo jina moyo unalipuka kwa hasira. Kuna ndugu yangu ana eneo kule alichukua mkopo bank akajenga huko ilikuwa weekend iliyopita ahamie ila huwez kuamin zile vurugu za juzo mjengo umevunjwa uko chini na yeye yuko lock up kwa kushirikik mkutano ambao inasemekana haukuwa halali.

Kwa ufupi ni kwamba sina hamu na amdale!
 
kenya_bow_arrow_01.jpg
 
mkuu sijui lakini labda niseme kitu kimoja, watu wananunua maeneo toka kwa watu kumbe ni wavamizi. Hili eneo ninalouza ni kati ya maeneo yaliyokuwa yamevamiwa. Nilinunua hili eneo nikiwa masomoni nje ya nchi nikamweka mtu wa kulilinda ajabu narudi nakuta kalijimilikisha wakati nina hati ya eneo langu. njia za kidplomasia zkashindikana tukaungana watu wote tuliovamiwa maeneo yetu tukaenda mahakamani ndiyo wakaambiwa warudishe maeneo yetu.
Mimi nashauri usinunue eneo bila kupewa hati au kwa mtu hivi hivi. Maeneo mengi watu wanakuwa wameyavamia
 
Usiwe na presha wangu kwa hiyo bei,tulia utafuatwa hadi kwa 100 mill town hapo
 
Aiseee babaangu ngoja nikutafute nadhani patanifaa kwa kilimo cha ndizi na kahawa

ngoja ni kuu pm kabla rizi one ajaniwai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom