Eneo la wachimbaji wadogo wa dhahabu Tanga lapewa muwekezaji

Kabwela

Member
Feb 11, 2008
76
5
Wakati kamishna wa zamani wa madini akiukwa ubunge huku akiwaahidi wananchi wake kuwagawia maeneo ya kuchimba akiwa nje ya ulingo ambapo hakufanya hivyo akiwa wizarani. Serikali yetu imetua ruhusa kumpa muwekezaji eneo lililokiwa linatumiwa na wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoa wa Tanga FYI:
http://www.marketwatch.com/story/canada-gold-receives-conditional-tsx-venture-exchange-approval-for-the-acquisition-of-700km2-of-prospecting-licenses-in-tanzania-2011-10-13


Hivi serikali yetu itawawezesha lini wachimbaji wadogo wetu kuweza kuyatumia maeneo yetu kwa faida yetu wenyewe. Au watanzania tufaidi madini yetu zaidi ya 3% tunayoambulia sasa kutoka kwenye mrahaba.
 
Ngoja sisi tukavue tu kwa sababu tumeikubali hali hii mpaka hapo tutakapoikataa ndo serikali itakoma
 
Back
Top Bottom