Eneo la kando ya bahari ya hindi linauzwa

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Kwa wadau wanafanya biashara ya Hoteli za Kitalii au Beach. Lipo eneo la Ekari tano lililopo Kikokwe- Pangani. Eneo hilo linaambatana na maeneo yenye Beach za kisasa za Ushongo Hotels (Emayan Beach, The Tides, na Coco Beach-Pangani)

Eneo hilo pia tayari linapakana na mahotel mengine ya kitalii. Kwa aliyetayari, mwenye nia ya kuwasiliana kwa ajili ya biashara tafadhali ni PM then tutaongea.
 
Back
Top Bottom