Eneo kubwa la Dar es Salaam kukosa maji.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
RADIO ONE BREAKING NEWS: Bomba kubwa liletalo Maji Dar limepasuka eneo la Kerege Bagamoyo (ni Maji kutoka Mtambo wa Ruvu chini.) afisa uhusiano amedai itachukua siku 2 tu. kwa uzoefu wangu zoezi la kuunga bomba laweza kuchukua wiki 1 au zaidi.

Baadhi ya Maeneo yatakayokosa maji ni BAGAMOYO,MAPINGA,KEREGE,BUNJU,BOKO,TEGETA,MBEZI BEACH,KUNDUCHI,MWENGE,SINZA,KIJITONYAMA,MIKOCHENI,MSASANI,OYSTERBAY,UPANGA,KARIAKOO,CITY CENTRE, MAGOMENI NA MWANANYAMALA.
 
RADIO ONE BREAKING NEWS: Bomba kubwa liletalo Maji Dar limepasuka eneo la Kerege Bagamoyo (ni Maji kutoka Mtambo wa Ruvu chini.) afisa uhusiano amedai itachukua siku 2 tu. kwa uzoefu wangu zoezi la kuunga bomba laweza kuchukua wiki 1 au zaidi.
you are wrong my friend hapo katika red.

Ingekuwa Ruvu juu sawa lakini Ruvu chini, Pinda mwenyewe atapanda kusimamia zoezi

wengine tunatumia visima toka 1994 hatuna maji ya bomba...... Tutawauzia mnaotegemea ya dawasco..... Kaeni mkao wa kununua.........
 
you are wrong my friend hapo katika red.

Ingekuwa Ruvu juu sawa lakini Ruvu chini, Pinda mwenyewe atapanda kusimamia zoezi

Labda enzi za Eddo si unakumbuka alivyomtoa nishai Mhandisi aliyekwenda na Suit site ila kwa Mtoto wa Mkulima sidhani...
 
Hakuna tofauti. Kwa kawaida huwa haijulikani siku Dar kukiwa na maji au hamna yote sawa tu maana misusuru ya kina mama na ndoo zao kichwani huwa haiishi Jan-Dec!
 
nadhani itabidi hii issue ishughulikiwe haraka kwani huku ndiko sisi wazito tunapokaa...............
 
Sehemu ya Bomba lililokarabatiwa limepasuka tena...
JOB TRUE TRUE...

Live Radio1.....maji mpaka jumapili

customer-service.jpg
 
Hakuna tofauti. Kwa kawaida huwa haijulikani siku Dar kukiwa na maji au hamna yote sawa tu maana misusuru ya kina mama na ndoo zao kichwani huwa haiishi Jan-Dec!

Ni kweli kaka! lakini hao kina Mama hawana pa kuchota maji... Hivi sasa Madumu ya Uhai yanauzika saaana!
 
hii si habari mpya wala nini...

Hii pesa wangehifadhi waje walipie tangazo siku ambayo sehemu kubwa ya Da watapata maji ili wakeshe wakijijazia vidumu vya uhai.
 
Back
Top Bottom