Encyclopedia Danganyika

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Tanzania Federation: (Zanzibar + Tanganyika, and Federal Government): Hatutaki!
East Africa Federation: (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanganyika): Tunataka!


Baraza la Usalama lenye kudhibiti madaraka ya urais: Hatutaki
Baraza la Utawala la EAC: Tunalikubali

Mswahili mwenye shamba kubwa: Lote hili la nini wewe, wakati wenzio wana shida ya ardhi
Mtu ngozi-siyo-nyeusi: Unaona wenzenu wawekezaji?

Serikali kunyang'anya wananchi ardhi 'kwa manufaa ya taifa': sawasawa. Ardhi ni mali ya Rais
Kwa watu ngozi-siyo-nyeusi: unaona wenzenu wawekezaji?

Kocha Mswahili: Usichojua nini wewe kwamba serikali haina pesa? Timu ya taifa kambi Tandika!
Kocha siyo Mswahili: Mshahara gani unataka? Kambi hoteli nyenye nyota tano!

Long live Uhuru!
 
Back
Top Bottom