Employment Agencies

Asanteni sana kwa wote mlionisaidia ombi langu na mchango wenu wa mawazo Mungu awabariki.
 
Habari wana JF.

Natafuta employment agencies hapa Tanzania.

Nataka kutuma CV yangu.

Msaada wenu unahitajika

Enny, uchokoaji wako umetufaidisha wengi, God bless you. Thanx wanaukumbi too. Kumbe kweli JamiiForum ni wanandugu. Nimeamini.

Leka
 
Fikiria pia kujiajiri.......mimi nipo kwenye process ya kujiajiri mwenyewe...kutokana na kutokuwa na mtaji mkubwa nilisajili kampuni pale TCCIA .nilipata link ya kuwa agent wa ku-distribute building materials(of very high quality) European Standards...mwanzo ilikuwa ngumu kuaminika na kueleweka hapa nchini,lakini sasa watz wameanza kunielewa napata orders nyingi ....karibu
 
Wapendwa, nadhani zile enzi za ufalme zimejirudia tena. Naona wameanza kurithishana viti vya ubunge. Hivi niuliza, kama watoto wa Mwenye heri Nyerere wangerithishwa urais wa nchi hii kina Mwinyi, Mkapa na Mrisho wangesogelea Magogoni kweli?
 
Fikiria pia kujiajiri.......mimi nipo kwenye process ya kujiajiri mwenyewe...kutokana na kutokuwa na mtaji mkubwa nilisajili kampuni pale TCCIA .nilipata link ya kuwa agent wa ku-distribute building materials(of very high quality) European Standards...mwanzo ilikuwa ngumu kuaminika na kueleweka hapa nchini,lakini sasa watz wameanza kunielewa napata orders nyingi ....karibu

M2 wangu upo wapi nimeipenda hii,naomba uni PM bac.
 
utume cv iliuombe kazi au?siku hi makampuni karibia yote yanatumia email kupata cv za waombaji kazi...

Mwezet wacha kurupuka rupuka tu. soma kwa utulivu ufahamu kilichoandikwa ua kiswhahili kinakupiga chenga? Ona waliosoma kwa utaratibu wamefahamu na wamejibu!!!!!
 
Fikiria pia kujiajiri.......mimi nipo kwenye process ya kujiajiri mwenyewe...kutokana na kutokuwa na mtaji mkubwa nilisajili kampuni pale TCCIA .nilipata link ya kuwa agent wa ku-distribute building materials(of very high quality) European Standards...mwanzo ilikuwa ngumu kuaminika na kueleweka hapa nchini,lakini sasa watz wameanza kunielewa napata orders nyingi ....karibu

Hongera bt hujajibu hoja ya jamaa hapo juu zaid unajisifia!
 
Hawa jamaa ni wababaishaji sana,nimejaribu mara nyingi ,lakini napelekwa kufanya usaili kwa kazi ambayo sio yangu mie mhasibu naenda kuwa karani for Invoicing ,kweli sikutendewa haki ingawa nilifanya kazi hiyo kwa muda then nikatafuta kazi sehemu nyingine.kwahio radar muwe makini sana.

Umenifurahisha, unataka kazi imatch exactly ulichosoma?
 
Hizi agency zinakata kiasi gani kutoka kwenye paycheck? au inakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom