Emmanuel TV

Sina pa kwenda

Senior Member
Nov 18, 2010
113
15
Jamani nina swali hivi hiyo channel ya Emmanuel TV inaonyeshwa kwenye DSTV if yes ni channel namba ngapi? plz help me
 
Kama una hata Startimes(mimi naipata live! Kupitia Startimes) unaweza kuitafuta manually ukapata na nyingine kibao kama EWTN,ATN,Hope n.k! Kuna mdau alitumwagia maujanja humu humu!!
 
Sio kwenye DSTV, mwambie fundi unahitaji channels za dini, utahitajika kununua LNB au waswahili wanaita kikombe kwa ajili ya channels za dini na fundi akufanyie searching utapata channels nyingi sana za dini, Movie TV ya Nigeria na English News TV ya Uarabuni sio za kulipia ni za bure. Lazima uwe na dish na receiver.
 
Kama una hata Startimes(mimi naipata live! Kupitia Startimes) unaweza kuitafuta manually ukapata na nyingine kibao kama EWTN,ATN,Hope n.k! Kuna mdau alitumwagia maujanja humu humu!!
nipe na mimi mkuu wangu!nna star times,na nnaikubali sana Etv.
 
Back
Top Bottom