Emmanuel Nkullila aelezea ukosefu wa ajira USA

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,644
68,594
Habari Wabeba Box wa USA,
Akiojiwa na Gabriel zakaria(mtangazaji wa TBC1),Emmanuel alisema hali ya uchumi nchi USA ni ngumu hakuna kazi kabisa,sasa najiuliza wabeba box wa uko wanaishi vp? Walavumbi wenzangu ebu tukaeni tz tusiwe na kasumba ya kwenda USA kutafuta maisha,kule sasa maisha ni magumu sio kama kipindi kile cha clinton

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom