Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule ,jiko na choo inapangishwa Kimara

Freshbrain

Member
Oct 3, 2011
29
82
Habari za shughuli wadau,

Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee.

Kwa hiyo natafuta mtu nitakayemuuzia mkataba, HAKUNA UDALALI. Kodi kwa mwezi ni 160,000/= utalipa Miezi 11 (Kwa sababu nimeshatumia mwezi).

Nyumba ina Marumaru upande wa sebuleni mpaka jikoni..na pia imeshanyiwa ukarabati i.e rangi etc tayari kwa kuhamia.

Ipo Kimara Mwisho umbali wa Dakika nane (8) kwa mguu kutoka barabarani.
 
Kaka kuna maji???? Mita ya umeme ni Luku au ya kawaida,Gari linafika mpaka hapo nyumbani unaweza kulilaza hapo mpaka asbh??
 
Back
Top Bottom