Emergence newz emergence newz emergence newz emergence newz: Kwa waliokosa mkopo

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
wale waliokua wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa wazr wa elimu saa 1 asubuh, kiongoz ameniambia ni2me kwa wa2 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefka kwa wa2 zaid ya 10, naomba mumpe ushirikiano
 
Back
Top Bottom