Embu tukumbushane Jinsi tulivyo jifunza kuendesha Baiskeli..

Ilikuwa phonex mkulima size 28. Bibi yangu ndo alininunulia, mwaka ulee niko darasa la nne! Nikajifunza nlipopata uzoefu kidogo kuna siku nilienda kusaga mahindi kama kilo 5 tu, kijiji jirani umbali wa km 4 au 5 hivi, nilianguka zaidi ya mara 5 mpaka kufika mashineni! Na kila nikianguka siwezi kupanda mpaka apatikane msamaria ashikilie baiskeri ndipo niendelee na safari! We acha bana, umenifanya nikumbuke siku niliyokaumia mguu nilipoanguka nikienda shamba na kunikosesha masomo zaidi ya mwezi mzima..!!

Nimecheka sana,unakumbuka mpaka idadi ya midondoko yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom