Embe ulipendalo ni lipi?

eti? Embe nyonyo? Ntalipata wapi embe? Embe embe au? Mkuu niweke sawa mana sie wa47 mmetuacha njia ya kupandia!

yametajwa maembe kibao mkuu bado ile kituo ilikupita? Sasa babu ile Gear wanayoita Reverse ina hatari maana nyuma katu haturiiiiiiiiiiii....njoo nikupe embe lililogundikwa wallah nalo kiama kwa utamu............
 
Maembe mengine makubwa jamani hata unapolila inabidi uwe na njaa kweli kweli haya haswaaaaa maembe ya pwani jamani, kule Kigamboni ndo yanapatikana pale Kibada yapo pia....ni matamu sana tuuuuuuuuuuuuuu, jamani maembe ni mengi mno....
 
yametajwa maembe kibao mkuu bado ile kituo ilikupita? Sasa babu ile Gear wanayoita Reverse ina hatari maana nyuma katu haturiiiiiiiiiiii....njoo nikupe embe lililogundikwa wallah nalo kiama kwa utamu............

ati nije unipe embe,mgongo unauma mjukuu mie siji namtuma mwanangu mwajuma umpatie ati! Atakupa kizawadi kidogo nimemwagiza ukimpa embe basi akupe ati! Ni mia ya sarafu mjukuu!
 
ati nije unipe embe,mgongo unauma mjukuu mie siji namtuma mwanangu mwajuma umpatie ati! Atakupa kizawadi kidogo nimemwagiza ukimpa embe basi akupe ati! Ni mia ya sarafu mjukuu!

Karibu Mwajuma atiiii....nitampa bila shaka Babu, akitaka nitampa na yeye tule pamoja, embe gani babu nimpe? la shi mia babu halikutoshi mana litakuwa dogo, hutaki BOLIBO babu? Ok nitampa nyonyo akuletee babu....
 
mjuu mkarimu wataka kula nae ati? Kula ila mwambie awahi nyumbani ati! Maana mie namlea uyu baada ya kijana mwenzie mungu kumpenda zaidi na yeye daktari kasema awe anatumia vidonge mpaka dawa ipatikane. Kula nae mjukuu usiogope. Je na vdonge utamsaidia maana daktari kampa vingi hatomaliza peke ake ati!?
 
God wants you to be holy and completely free from sexual immorality. mungu awabariki mtafakaripo haya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom