Embe ulipendalo ni lipi?

Kuna embe Jingine la wana Darisalamu eti halina sijui utamu au ndo chachandu maana inabidi uweke CHUMVI kuongeza utamu, Uvinza uvinza jamani kama machimbo ya Chumvi yakifungwa embe hili halitaliwa? Wasifu wake humenywa likiwa halijaiva kidogo na kutiwa Chumvi kisha kuliwa....
 
Kama ni embe kweli mnazozungumzia hapo. Hapa Kwetu kuna embe zinaitwaa "MANDUNGULI", hiyo ikigusa tu ulimi wako wallah, hufungii mdomo hadii uimalize. karibuni tule Mandunguli jamani.
 
ha ha ha ha haaaaa hilo embe nalijua linapendwa sana siku hizi:hail:
 
Kama ni embe kweli mnazozungumzia hapo. Hapa Kwetu kuna embe zinaitwaa "MANDUNGULI", hiyo ikigusa tu ulimi wako wallah, hufungii mdomo hadii uimalize. karibuni tule Mandunguli jamani.

La wapi tena hilo???
 
Embe tamu ulichume mwenyewe ati, usubiri lianguke si litakuwa rojo mno?
 
Kama ni embe kweli mnazozungumzia hapo. Hapa Kwetu kuna embe zinaitwaa "MANDUNGULI", hiyo ikigusa tu ulimi wako wallah, hufungii mdomo hadii uimalize. karibuni tule Mandunguli jamani.

Mhhhhhhhhhhhhhh maembe mengine ukisikia tu ute ute mdomoni unaanza kukutoka.....Mandunguli liko pande zipi Mzee Punje? Kama vipi tuje Tulitungulie....
 
Kuna embe jingine wakuu na,ona hamna anaelijua hizi ziko Supermarket jamani hizi embe hazina shida kuzila utakavyo ni wewe tuuuu,
Ukitaka kumenya wewe na kisu chako kama kikali, ukitaka kula hivyo hivyo wewe na roho yako, hizi embe upandaji wake wa madawa jamani, huku haraka zina umboo zuriiii maana hutreatiwa vizuri sana, kila sehemu ziko perfect, embe hizi sie twaziita Imported....
 
Vijana naona mmeamua kutumia lugha ya kawaida lakin mi siwaelewi mara embe bukoba kisha katerero!wakati bukoba hawalimi dodo! Haya bwn naondoka mnaoelewana kaa jamvini mi naenda pale kwa mzee Kalumanzila nkanywe kahawa na wazee wenzangu. Mwambie bibi yenu nyama ipikwe vizuri mie sina meno tena wajukuu. Baadae.
 
kula embe nyonyo mkuu halihitaji meno.....usile katu lile la mjini maana lina chumvi added
 
eti? Embe nyonyo? Ntalipata wapi embe? Embe embe au? Mkuu niweke sawa mana sie wa47 mmetuacha njia ya kupandia!
 
Back
Top Bottom