Email Nzuri ya Maendeleo - Kibiashara zaidi

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
549
leo asubuhi nimepata email ya kimaendeleo kutoka kwa mtanzania.imenifurahisha sana kuona sasa tunaelekea usawa wa kenya,now people are dare to venture in new avenues

please read to the end then nipeni opinion ,
Greetings to you,

What is Your Plan for 2011?

My name is Ms Catherine, an Entrepreneur and Lifestyle Trainer. And my plan this year is to help more people become financially free by starting their own business. I'm looking for people who need a brand new start in their lives, people who want more out of life. I am looking for people with the following qualities:

People who want to become financially independent.
People who want to have more time to enjoy with their family and friends while earning a substantial amount of income.
People who want to transition from being employees to being entrepreneurs.
People who are self-driven, highly motivated and open - minded.
People who want to start a business with little initial investment.
People who are interested in doing a business that has no geographical boundaries (i.e International)
The below link gives an idea of the business plan that I want to share

YouTube - createtimefreedom

Can you recommend anyone to me who you know might be interested so that i can take her/him through the plan?

God bless you & Thank you in advance for your co-operation.

Regards,

Catherine Shija.

cjshija@yahoo.com

Entrepreneur and Lifestyle Trainer
 
Mie naifanya hiyo kazi,,kwa wale ambao wanatafuta ajira,na hasa wale wanaopenda kujiendeshea maisha yao watakavyo huku wakipata kipato kikubwa k kuliko hata cha wakurugenzi walioko kwenye makampuni makubwa na taasisi za serekali.Mtu yeyote mwenye ndoto za kujitimizia mahitaji yake na mwenye uwezo wa kufanya mambo yanayompasa kufanya bila kuamriwa au kufatwa fatwa basi hii ndio fursa.Kama ilivyokuwa kwa mapinduzi ya viwanda sasa wakati huu ni wa mapinduzi ya usambazaji.Kwa vijana na wazee,wenye ajira na wasiokuwa na ajira,wanoahangaika kuajiriwa huku kazi hawapati wakati ndio huu naamini wengi watajiuliza walikuwa wapi siku zote hawakuiona fursa hii.

kwa watakaopenda kushirikiana nami wanitumie email sensa28@gmail.com
 
Hivi mfumo wa "network marketing" sio pyramidal?
Je, kwa Tanzania mfumo huu unatambulika na kukubalika kisheria?
Je, "mfanyabiashara" anatozwa kodi kwa kipato chake? Na mapato yake yanajulikana vipi?
Je, mapato yatokanayo na network marketing yanachangia GDP?
Je, kwa kuwa makampuni ya nje ndo yanafanya hii biashara, kukitokea kudhurumiana au "dispute" ya aina yoyote, kesi inaamriwa na maakama ipi? ICC, mahakama kuu, etc???
Je, ukiwa mshiriki, unajuaje kwamba unastahili kupata/ kupewa kiasi fulani cha pesa kutokana na mapato kwenye "tree" yako??
Jamani, mimi ni mgeni kidogo kwenye haya mambo na ndo maana nauliza maswali mengi ili nijiridhishe kabla ya kujiunga, nitashukuru kwa majibu....
 
Hii biashara ni ya halali na inatambulika kisheria,inalipa kod,inachangia pato la taifa,ajira kwa Wananchi na kuboresha maisha ya jamii.

Ni biashara nzuri sana kwa watu ambao wako serious na inalipa kiukweli ukweli tatizo watu wengi mnakutana na watu ambao hawawezi kuwaelewesha mechanism yake mkajua unatakiwa kufanya nini.Kama mtu yuko serious aniemail tafadhali at sensa28@gmail.com
 
Tatizo la hivi vitu utaambiwa mambvo mazuri ukifika mwisho wanakuambia ili ujiunge lipa laki 5 ukisha lipa wanakutelekeza mimi nimeingia kwenye mtandao huo nafanya utafiti kama kuna mambo mazuri nitawapa majibu, nimeshakuwa member wa GNLD, Tianshi nk mitandao hii naifahamu na matatizo yake nayajua.
 
nilipoenda ktk hiyo link nilihisi kuwa ni ktk type ya gnld and tianshe .
kizuri nilichokiona ni kuwa email marketing inatumika kama kwa wenzetu ulaya,this is a step foward kuwa na e-commerce ktk jamii ya kitanzania.
BabaLao maybe its time uwe na website yako.badala ya Mshauri wa biashara Charles nnaweza kuwa na mchango wa kiufundi ktk hili.
 
Tatizo la hivi vitu utaambiwa mambvo mazuri ukifika mwisho wanakuambia ili ujiunge lipa laki 5 ukisha lipa wanakutelekeza mimi nimeingia kwenye mtandao huo nafanya utafiti kama kuna mambo mazuri nitawapa majibu, nimeshakuwa member wa GNLD, Tianshi nk mitandao hii naifahamu na matatizo yake nayajua.

Mkuu tugusie hapo kwenye matatizo tuyajue.
 
tHANKS FOR GOOD WORDS....BUT JUST GIVE US YOUR PHONE NUMBER SO THAT WE CAN CONSULT YOU. I HAVE READ IT UNDERSTOOD IT AND NOW I WANT TO TAKE ACTION
 
Tatizo la hivi vitu utaambiwa mambvo mazuri ukifika mwisho wanakuambia ili ujiunge lipa laki 5 ukisha lipa wanakutelekeza mimi nimeingia kwenye mtandao huo nafanya utafiti kama kuna mambo mazuri nitawapa majibu, nimeshakuwa member wa GNLD, Tianshi nk mitandao hii naifahamu na matatizo yake nayajua.

Ni yapi hayo matatizo?
 
Hii biashara ni ya halali na inatambulika kisheria,inalipa kod,inachangia pato la taifa,ajira kwa Wananchi na kuboresha maisha ya jamii.

Ni biashara nzuri sana kwa watu ambao wako serious na inalipa kiukweli ukweli tatizo watu wengi mnakutana na watu ambao hawawezi kuwaelewesha mechanism yake mkajua unatakiwa kufanya nini.Kama mtu yuko serious aniemail tafadhali at sensa28@gmail.com

The fact kwamba biashara inalipa kodi na kuchangia pato haimaanishi kuwa ni halali, infact, TRA wanakusanya kodi so long as a person has an income whether ni legal au sio.
 
Back
Top Bottom