Elvis Musiba wa "Njama", "Kikosi cha Kisasi" ametutoka

RIP Elvis Musiba, nilikuwa msomaji mkubwa wa vitabu vyake vya Willy Gamba...Njama, Kikosi Cha Kisasi, Kikomo, Hofu...
 
Kufa na Kupona
Kikosi Cha Kisasi
Kikomo
Njama
Hofu
Hujuma

To me Willy Gamba ndiye 'James Bond' wa Tanzania, Elvis Musiba ndiye 'Ian Flemming'.

RIP Mzee Musiba.
 
RIP Musiba. Tutakukumbuka kwa vitabu vyako vya kipelelezi...
Kikosi cha Kisasi, Njama...
 
Jamaa alikuwa kichwa ktk fani ya utunzi wa riwaya kitabu chake cha njama na mikononi mwa mauti vilinipa burudani sana.
 
RIP. vitabu vyake hasa vya KIKOSI CHA KISASI, NJAMA, KIKOMO ni kati ya novel zangu za kwanza kabisa kuzisoma nikiwa primary school, viligusia hasa ukombozi wa bara la africa ambapo Willy Gamba Mpelelezi mashuhuri toka Tanzania alikuwa akipambana vikali na wauaji wa wawapigania uhuru katika nchi za kiafrica.

Tutakukumbuka.
 
Kufa na Kupona
Kikosi Cha Kisasi
Kikomo
Njama
Hofu
Hujuma

To me Willy Gamba ndiye 'James Bond' wa Tanzania, Elvis Musiba ndiye 'Ian Flemming'.

RIP Mzee Musiba.


vyote hivyo nashukuru nimevisoma ingawa sasa havipatikani sana
RIP Musiba
 
Poleni wafiwa wote. Aristabulus Elvis Musiba alikuwa kichwa kwelikweli. Aliyumba hadi kufungwa jela lakini alipotoka tu kule akayanyoosha maisha hadi kifo chake. Poleni sana akina Felix, Andrew,...
 
Back
Top Bottom