Elizabeth Gupta na Kelvin Pam wafunga ndoa rasmi Nigeria

Aaahg demu akishakuwa na ma tatoo tayari ana ni TURN OFF vibaya mnoo anyway HONGERENI SANA ombi hapo mdumishe ndoa yenu
 
Mnaijeria+mhindi/mchaga=?, any way, nawatakia maisha meme.
 
Mnaijeria+mhindi/mchaga=?, any way, nawatakia maisha mema.
 
Aaahg demu akishakuwa na ma tatoo tayari ana ni TURN OFF vibaya mnoo anyway HONGERENI SANA ombi hapo mdumishe ndoa yenu

Hence the reason she is Kelvin's and not...............................!

Congrats Liz, U go girl!!!!!!!!!!!
 
Wahindi kwa kupenda pesa..
Wachaga kwa kupenda pesa..
Wa nigeria kwa kupenda pesa....


Najiuliza huyo mtoto atakuwaje...............lol
 
Wahindi kwa kupenda pesa..
Wachaga kwa kupenda pesa..
Wa nigeria kwa kupenda pesa....


Najiuliza huyo mtoto atakuwaje...............lol

Acha ujinga wewe,hamna mtu katika hii dunia ambaye hapendi fedha.Yawezekana wewe unaongoza n then unawatuhumu wengine kwanza umetawaliwa na ukabila ambao bb wa taifa aliupinga kwa nguvu zake zote.Woch out.
 
Good love story with a happy ending; nakumbuka jamaa alivyokuwa anamfukuzia huyu demu ndani ya BBA, demu akawa anaplay hard-to-get, mara ooh mimi nadate wazungu tu...; all the best though, and I hope haitakuwa one of the many cerebrity marriages tunazoshuhudia kila siku ambazo zinadumu hardly two years....
 
Back
Top Bottom